Dark days 17/03/20...

Unaweza kuwa sahihi, ila hii ni vita kati ya makundi kadhaa. Anachokifanya Yoga kinawanyima usingizi baadhi ya watu tena watu wazito.... so tuombe asiwe kwenye tabu huyu ndugu yetu.
 
Hiyo ya 12yrs haiji kutimia. Hata ikitokea sitegemei ya 17.3.2021 yajirudie.
 
Hiyo ya 12yrs haiji kutimia. Hata ikitokea sitegemei ya 17.3.2021 yajirudie.
Ya 17.3.2021 hayawezi kujirudia kweli!

LAKINI Hujuma zitamfanya akae pembeni na 12 years kutimia!!!

Anajitahidi kiendana na Kasi Ili ajinufaishe mapema kabla hajaachia na kweli KWA Hiyo mikataba ya HUKO majuu lazima akaunti inanona Ili ikitokea yameshindikana TAYARI ana chake kikubwa!!
 
Sikiliza hii vide dk flani hivi.. Unganisha dots.. Changanya na za hapa
Nimesikiliza video vizuri!

Kuna nadharia mbili;-

1.kweli ni maono MUNGU kamuonyesha KUHUSU hayo aliyoyasema!

Au

2.ujasusi umeamua kuuandaaa umma kupitia hiyo video Ili Raia waelewe kabla haijaanza rasmi operation kutekelezwa!

Japo sijaelewa ni mwezi mei Mwakani au MWAKA Huu!!?

MAWAZO HURU HAYA KUTOKA KWA mtanzania Baada ya kusikiliza video!!
 
Unaweza kuwa sahihi, ila hii ni vita kati ya makundi kadhaa. Anachokifanya Yoga kinawanyima usingizi baadhi ya watu tena watu wazito.... so tuombe asiwe kwenye tabu huyu ndugu yetu.
Nyie humu ndani acha kupeana story za vijiweni hiv kweli hii tooic yenu iwanyime usingizini na wao wanawaangalien wanashindwa kumbana max aifute hiv mnajua ishu za kuketa taharuki au usalama wa nchi mnadhani mtachekewa na hiz story zenu nyie hamuijui tanzania
 
Tunachangia story tu!

Tunachangia uchumi KWA kununua MBS,na mzunguko wa fedha!

Hakuna cha ziada zaidi ya story tu jamvini!

Umetupata Mkuu!!?
 
Anza kusikiliza hii kabla hajakufa
Unganisha dot dot na hi

 
Sikiliza na hii
 
Namba mbili ngumu. Hao sio watanzania huyo mmoja ni wa SA na mwingine ni wa ZIM kwenye channel zao wamezungumza matukio mengi sana kabla hayajatokea na yalikuja kutokea, wana video nyingi sana za mataifa mbali mbali na viongozi mbali mbali
 
Weka link ya hizo nyuzi tupashe ubongo
 
Acha kuniliza kila siku alisema tumuombee maskini jpm wetu mzuri dunia ilijuwa watamuondoa
Pole sana, damu yake haijapotea bure, ni ishara ya ukombozi. Kuna kipindi taifa zima inabidi limwage damu na kuna kipindi mtu mmoja tu akimwaga damu inatosha kwa ukombozi wa wote na taifa zima. Damu inaongea..
 
Pole sana, damu yake haijapotea bure, ni ishara ya ukombozi. Kuna kipindi taifa zima inabidi limwage damu na kuna kipindi mtu mmoja tu akimwaga damu inatosha kwa ukombozi wa wote na taifa zima. Damu inaongea.. View attachment 2438810
1" Hata ............niliyemuamini?
2 "acha wabaki na nchi yao"
3" Ee Mungu acha mimi nipumzike"

Yule mtumishi wa Mungu akatoka analia machozi baada ya misa fupi ya mwisho.

Hapo ndo yule msimamizi wa mawe na yule aliyeongea sana wiki mbilizilizopita wakaanza kuangaika waone kama watasaidia wakikuwa washachelewa na maagizo kutoka juu ya mlima yashatokà hivo ikaisha hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…