Christmas itakuwa chungu sanaWakuu kuna nini kinaendelea muuza kahawa anasema bendera ipo nusu mlingoti tayari hukoo.
Fafanua vizuri!Wakuu kuna nini kinaendelea muuza kahawa anasema bendera ipo nusu mlingoti tayari hukoo.
Mkuu,ebu fungua hizi code..yaelekea unajua kitu flani na wewe1" Hata ............niliyemuamini?
2 "acha wabaki na nchi yao"
3" Ee Mungu acha mimi nipumzike"
Yule mtumishi wa Mungu akatoka analia machozi baada ya misa fupi ya mwisho.
Hapo ndo yule msimamizi wa mawe na yule aliyeongea sana wiki mbilizilizopita wakaanza kuangaika waone kama watasaidia wakikuwa washachelewa na maagizo kutoka juu ya mlima yashatokà hivo ikaisha hivyo.
Mfuate[emoji41]Acha kuniliza kila siku alisema tumuombee maskini jpm wetu mzuri dunia ilijuwa watamuondoa
Bt atamfuata
Justice is coming,Sikiliza hii vide dk flani hivi.. Unganisha dots.. Changanya na za hapa
Jiandae kisaikolojia
Damu ya mtu lazima idai.ukiua kwa upanga na wewe utauawa Kwa upanga alafu mbaya zaidi anamaadui wengi.jiandae kisaikolojia.
Analindwa na ana ulinzi mkaliDamu ya mtu lazima idai.ukiua kwa upanga na wewe utauawa Kwa upanga alafu mbaya zaidi anamaadui wengi.jiandae kisaikolojia.
Kwendraaaaaa
binadamu mwenzako hawezi kukupa ulinzi mkali.
Hiuo kauli ya kikwete sasa ndo imeonesha nani ni rais wa Tz."Mama Samia kama hujui wewe ni amana na zawadi ya mwenyezi Mungu kule kijijini, kwa watanzania na CCM, na Mungu hawezi kuichukua dhamana hiyo upesi, ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine, watu wazuri hawafi ndio maana Kinana bado yupo, Jakaya bado anadunda" - Yusuf Makamba
"Mheshimiwa Rais usisikilize porojo za watu, kwamba sjui kuna kijana gani atagombea na mzee gani atagombea ni upuuzi mtupu, sio kwamba nasema nawazuia lakini simuoni mwana CCM 2025 atakayechukua fomu, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" - @jakayakikwete
MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA.
Mbona kauli hizo ni vitisho vya wazi kumshinikiza aondoke mwenyewe kabla mambo hayajawa mabaya zaidi!!!"Mama Samia kama hujui wewe ni amana na zawadi ya mwenyezi Mungu kule kijijini, kwa watanzania na CCM, na Mungu hawezi kuichukua dhamana hiyo upesi, ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine, watu wazuri hawafi ndio maana Kinana bado yupo, Jakaya bado anadunda" - Yusuf Makamba
"Mheshimiwa Rais usisikilize porojo za watu, kwamba sjui kuna kijana gani atagombea na mzee gani atagombea ni upuuzi mtupu, sio kwamba nasema nawazuia lakini simuoni mwana CCM 2025 atakayechukua fomu, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" - @jakayakikwete
MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA.
Actually ilimuumiza sana moyoni mwake,,,,na by the way naamini amepata pumziko TAKATIFU.1" Hata ............niliyemuamini?
2 "acha wabaki na nchi yao"
3" Ee Mungu acha mimi nipumzike"
Yule mtumishi wa Mungu akatoka analia machozi baada ya misa fupi ya mwisho.
Hapo ndo yule msimamizi wa mawe na yule aliyeongea sana wiki mbilizilizopita wakaanza kuangaika waone kama watasaidia wakikuwa washachelewa na maagizo kutoka juu ya mlima yashatokà hivo ikaisha hivyo.
Aiseeeeeeeeee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]"Mama Samia kama hujui wewe ni amana na zawadi ya mwenyezi Mungu kule kijijini, kwa watanzania na CCM, na Mungu hawezi kuichukua dhamana hiyo upesi, ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine, watu wazuri hawafi ndio maana Kinana bado yupo, Jakaya bado anadunda" - Yusuf Makamba
"Mheshimiwa Rais usisikilize porojo za watu, kwamba sjui kuna kijana gani atagombea na mzee gani atagombea ni upuuzi mtupu, sio kwamba nasema nawazuia lakini simuoni mwana CCM 2025 atakayechukua fomu, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" - @jakayakikwete
MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA.
Naona ndimi zao zinazidi kuteleza tu!!"Mama Samia kama hujui wewe ni amana na zawadi ya mwenyezi Mungu kule kijijini, kwa watanzania na CCM, na Mungu hawezi kuichukua dhamana hiyo upesi, ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine, watu wazuri hawafi ndio maana Kinana bado yupo, Jakaya bado anadunda" - Yusuf Makamba
"Naomba kurekebisha ulimi wa Kaka yangu Mzee Makamba ulivyoteleza wakati ananisifia alisema usiogope hutokufa, mtu mzuri hafi, hajakusudia kwamba wanaokufa ni watu wabaya, wote hapa tumefiwa, kwahiyo nirekebishe kipengele kile kisiende kikatumika vibaya,"- @samia_suluhu_hassan
"Mzee (Makamba) alikuwa kwenye 'emotional' alidhani amenikosea alivyoniambia si utakufa utatupisha, lakini akajirudisha akaniambia usijali mtu mzuri hafi, alikuwa kwenye emotional lakini hajakusudia vingine vyovyote,"- Rais Samia