Dark days 17/03/20...

Mama anazungukwa kijanja na hawa wazee mr born town na mzee February: story ya [mention]yoga [/mention] imetupa mengi ukifatilia hawa wazee kwa umakini kuna dot znakuja + hizi kauli zao sema tusubir tuone wanasema haijaisha kama haijaisha kabisa
 
Kwa nini mzee February amesema kuwa ikitokea 2025 mama samia akiwa hayupo? Ataenda wapi? Inamaana anamuombea mabaya? Na anaona nini au emekiona nini huko mbele ::mambo ninmengi sana :inaelezwa kwenye politics hakuna neno linalotoka kwenye publicity by mistake: ngoja tuone [mention]yoga [/mention] atupe njia kidogo hapa
 
Eee Mwenyezi Mungu tunakuomba tuondolee wazee Hawa wanaojivika hati milki ya nchi yetu,

wanamtisha kiongozi wetu waziwazi asitimize wajibu wake.

Tunakuomba utusikie.

Aaaamen.
 
Kuna watu wanajadili kauli yake ya kusema wazuri hawafi. Lakini wenye akili tunajadili between the lines, hapo Kuna namna huyu mama hatoboi 2025 nadhani amefikishiwa ujumbe.
 
Duuuh ngumu kumeza hii. Tobaaaaah
 
Kuna watu wanajadili kauli yake ya kusema wazuri hawafi. Lakini wenye akili tunajadili between the lines, hapo Kuna namna huyu mama hatoboi 2025 nadhani amefikishiwa ujumbe.

Mr born town anamfariji mama kama vile haelewi game ilivyo sijui na mama naye anaelewa au haelewi ila mr born town inaonekana anawamudu sana kwenye kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…