Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yoga kama Yoga.Aiseeeeeeeeee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Biashara imeishaaaa
[emoji15][emoji1666][emoji120]
Boss, we're waiting for you![emoji15][emoji1666][emoji120]
Kama hadithi ya yoga ilivyokuwa inaelezea kwamba kuna mchuano mkali.From kikwete na makamba maneno yao Kuna dots zinataka kuunganika ilaa ngoja tuone
Rest in peace[emoji15][emoji1666][emoji120]
😂😂😂 Siasa bana dah! Bashiru anapiga makofi nae..
Eee Mwenyezi Mungu tunakuomba tuondolee wazee Hawa wanaojivika hati milki ya nchi yetu,"Mama Samia kama hujui wewe ni amana na zawadi ya mwenyezi Mungu kule kijijini, kwa watanzania na CCM, na Mungu hawezi kuichukua dhamana hiyo upesi, ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine, watu wazuri hawafi ndio maana Kinana bado yupo, Jakaya bado anadunda" - Yusuf Makamba
"Naomba kurekebisha ulimi wa Kaka yangu Mzee Makamba ulivyoteleza wakati ananisifia alisema usiogope hutokufa, mtu mzuri hafi, hajakusudia kwamba wanaokufa ni watu wabaya, wote hapa tumefiwa, kwahiyo nirekebishe kipengele kile kisiende kikatumika vibaya,"- @samia_suluhu_hassan
"Mzee (Makamba) alikuwa kwenye 'emotional' alidhani amenikosea alivyoniambia si utakufa utatupisha, lakini akajirudisha akaniambia usijali mtu mzuri hafi, alikuwa kwenye emotional lakini hajakusudia vingine vyovyote,"- Rais Samia
"Mheshimiwa Rais usisikilize porojo za watu, kwamba sjui kuna kijana gani atagombea na mzee gani atagombea ni upuuzi mtupu, sio kwamba nasema nawazuia lakini simuoni mwana CCM 2025 atakayechukua fomu, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" - @jakayakikwete
MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA.
Mmeziona nyuso za wajumbe?
Kuna watu wanajadili kauli yake ya kusema wazuri hawafi. Lakini wenye akili tunajadili between the lines, hapo Kuna namna huyu mama hatoboi 2025 nadhani amefikishiwa ujumbe.Kwa nini mzee February amesema kuwa ikitokea 2025 mama samia akiwa hayupo? Ataenda wapi? Inamaana anamuombea mabaya? Na anaona nini au emekiona nini huko mbele ::mambo ninmengi sana :inaelezwa kwenye politics hakuna neno linalotoka kwenye publicity by mistake: ngoja tuone [mention]yoga [/mention] atupe njia kidogo hapa
Duuuh ngumu kumeza hii. Tobaaaaah"Mama Samia kama hujui wewe ni amana na zawadi ya mwenyezi Mungu kule kijijini, kwa watanzania na CCM, na Mungu hawezi kuichukua dhamana hiyo upesi, ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine, watu wazuri hawafi ndio maana Kinana bado yupo, Jakaya bado anadunda" - Yusuf Makamba
"Naomba kurekebisha ulimi wa Kaka yangu Mzee Makamba ulivyoteleza wakati ananisifia alisema usiogope hutokufa, mtu mzuri hafi, hajakusudia kwamba wanaokufa ni watu wabaya, wote hapa tumefiwa, kwahiyo nirekebishe kipengele kile kisiende kikatumika vibaya,"- @samia_suluhu_hassan
"Mzee (Makamba) alikuwa kwenye 'emotional' alidhani amenikosea alivyoniambia si utakufa utatupisha, lakini akajirudisha akaniambia usijali mtu mzuri hafi, alikuwa kwenye emotional lakini hajakusudia vingine vyovyote,"- Rais Samia
"Mheshimiwa Rais usisikilize porojo za watu, kwamba sjui kuna kijana gani atagombea na mzee gani atagombea ni upuuzi mtupu, sio kwamba nasema nawazuia lakini simuoni mwana CCM 2025 atakayechukua fomu, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" - @jakayakikwete
MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA.
Duh wewe unajitambua kweli?R.I.P yoga
Kuna watu wanajadili kauli yake ya kusema wazuri hawafi. Lakini wenye akili tunajadili between the lines, hapo Kuna namna huyu mama hatoboi 2025 nadhani amefikishiwa ujumbe.
PoleDuh wewe unajitambua kweli?