Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Alishakufa a drop nn?Drop it YOGA.
Mmmh,lakini si ni mtu wao wanajuanaMama anazungukwa kijanja na hawa wazee mr born town na mzee February: story ya [mention]yoga [/mention] imetupa mengi ukifatilia hawa wazee kwa umakini kuna dot znakuja + hizi kauli zao sema tusubir tuone wanasema haijaisha kama haijaisha kabisa
Atakuwa katumwa na Rais wa Rais wetu. Mstaafu asiyestaafu hadi wastaafu wastaafu.Huu utumwa sijui utaisha lini[emoji24][emoji24]
Huyu hapa anatafuta kuungwa mkonoView attachment 2447971
Was she invited? Mbona kwenye orodha ya waalikwa Tanzania haimo? Could it be a reason alipndoka kimyakimya?
Samia yuko vizuri..Yaani mpaka sasa wanajua kabisa Rais Samia keshaharibikiwa, hakuna anayetamani huku mitaani kusikia jina la Rais Samia, na ndiyo maana wazee wamemuonya kishikaji mpaka kumtabiria kifo. Rais Samia angekuwa na uwezo wa kutembelea JF na kusoma nyuzi zetu naamini Makamba asingekuwa waziri, Nape angekuwa keshafukuza na Mwigulu angekuwa Jela na mambo yake Rais Samia yangekuwa bomba. Ila sasa sijui hilo baraza litakuwaje, hatujui kama ata recycle walewale. Natamani kuona kabisa Nape, January na Mwigulu awatoe baraza la Mawaziri, ateue watu makini kwenye hizo nafasi tena wawe na historical background ya utendaji mzuri.
MKUUYaani mpaka sasa wanajua kabisa Rais Samia keshaharibikiwa, hakuna anayetamani huku mitaani kusikia jina la Rais Samia, na ndiyo maana wazee wamemuonya kishikaji mpaka kumtabiria kifo. Rais Samia angekuwa na uwezo wa kutembelea JF na kusoma nyuzi zetu naamini Makamba asingekuwa waziri, Nape angekuwa keshafukuza na Mwigulu angekuwa Jela na mambo yake Rais Samia yangekuwa bomba. Ila sasa sijui hilo baraza litakuwaje, hatujui kama ata recycle walewale. Natamani kuona kabisa Nape, January na Mwigulu awatoe baraza la Mawaziri, ateue watu makini kwenye hizo nafasi tena wawe na historical background ya utendaji mzuri.
Mjomba yaani uanaona kila scene ya Yoga katika dark days zinajirudia kwa wahusika live unahoji tena kilikoni mpaka hapa tulipofikia haujaoanisha hii hadithi na mambo yanayotokea na kuendelea kutokea live nchini? Rudia kuisoma afu angalia nchi yetu tangu mwezi mei mpaka sasa ni matukio mangapi yametokea yanayoshabihana na dark days??? Mi naomba atulie arudi machi 2023 for the next stage ya mission implementation these shits are real nasubiri hatma ya mpanda farasi na Cat nani atakua eliminated na nani wataingia naye kwny nwo hpa EAC.The way it started (dark Days) i didnt anticipate it will have this ending!!!!
YogaYoga ..... kuna Pepsi yako huku
Hatutasibiri yaharibike ndo tupaze sauti,
"Polepole ana stress za maisha" walamba asali
Fafanua"Polepole ana stress za maisha" walamba asali
Mkuu no one can beat the system this is the harsh reality ambayo hata wapinzani wame-realise. So Polepole,Kabudi,Bashiru, and the likes are heading to the political oblivion come 2025.
Huu ni ukweli kabisa ila Mimi Niko pale Msoga nimekaa nasubili kifuatacho ITV[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106]
Story nzuri Kuna jambo la kujifunza hapa...
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app