Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mama anazungukwa kijanja na hawa wazee mr born town na mzee February: story ya [mention]yoga [/mention] imetupa mengi ukifatilia hawa wazee kwa umakini kuna dot znakuja + hizi kauli zao sema tusubir tuone wanasema haijaisha kama haijaisha kabisa
Mmmh,lakini si ni mtu wao wanajuana
 
Huyu hapa anatafuta kuungwa mkono
IMG-20221215-WA0133.jpg
 
Yaani mpaka sasa wanajua kabisa Rais Samia keshaharibikiwa, hakuna anayetamani huku mitaani kusikia jina la Rais Samia, na ndiyo maana wazee wamemuonya kishikaji mpaka kumtabiria kifo. Rais Samia angekuwa na uwezo wa kutembelea JF na kusoma nyuzi zetu naamini Makamba asingekuwa waziri, Nape angekuwa keshafukuza na Mwigulu angekuwa Jela na mambo yake Rais Samia yangekuwa bomba. Ila sasa sijui hilo baraza litakuwaje, hatujui kama ata recycle walewale. Natamani kuona kabisa Nape, January na Mwigulu awatoe baraza la Mawaziri, ateue watu makini kwenye hizo nafasi tena wawe na historical background ya utendaji mzuri.
Samia yuko vizuri..
 
MKUU

Kuna nadharia mbili au ZAIDI ya hicho unachokiandika;-

1.Anahujumiwa maksudi KWASABABU anautaka urais wa 2025 hivyo washindani wake Wanataka apoteze mvuto mapema ILI wamzuie kuchukua fomu!

2.yanayofanyika yana Baraka zake KWA kauli yake ya "kula KWA urefu wa kwamba"hivyo VIONGOZI wateule wameamua Rasmi wale KWA urefu wa kamba na kuzaa upigaji unaoripotiwa kila mara hapa JAMVINI!

3.anajitahidi kuzuia hayo yanayoendelea LAKINI anashindwa coz wanaofanya hayo ni mtandao mpana wenye watu WAZITO hivyo anashindwa kiwatumbua kirahisi!

Acha iwe hivyo tuone hatma!
 
The way it started (dark Days) i didnt anticipate it will have this ending!!!!
Mjomba yaani uanaona kila scene ya Yoga katika dark days zinajirudia kwa wahusika live unahoji tena kilikoni mpaka hapa tulipofikia haujaoanisha hii hadithi na mambo yanayotokea na kuendelea kutokea live nchini? Rudia kuisoma afu angalia nchi yetu tangu mwezi mei mpaka sasa ni matukio mangapi yametokea yanayoshabihana na dark days??? Mi naomba atulie arudi machi 2023 for the next stage ya mission implementation these shits are real nasubiri hatma ya mpanda farasi na Cat nani atakua eliminated na nani wataingia naye kwny nwo hpa EAC.
 
Mkuu no one can beat the system this is the harsh reality ambayo hata wapinzani wame-realise. So Polepole,Kabudi,Bashiru, and the likes are heading to the political oblivion come 2025.

Funzo ni kwamba ukiingia kwenye system tengeneza mazingira mazuri yaani golden parachute Ili siku uking'olewa uwe na uwezo wa kutua mahali salama. Till then hakuna atakayeweza kupambana na system na akashinda.
 
Back
Top Bottom