Mtumishi Lisu asema akiquote Bible.
Yeremia 29;11-14.
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA,
Ni mawazo ya AMANI, Wala Si ya mabaya, kuwapa ninyi TUMAINI siku zenu za mwisho.
Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
Nanyi mtanitafuta na kuniona,
Mtakaponitafuta Kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA.
Nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote na katika Mahali pote nilikowafukuza, asema BWANA.
Nami nitawaleta tena, hata Mahali ambapo Kutoka hapo niliwafanya mchukiliwe mateka.
End.
Karibu home 25 Jan 2023. Yoga endelea na simulizi tafadhali.
Aamen