Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ana vitu vingi sana nyuma ya pazia. Ananifanye niwaze kuwa kuna watu anawatumia ujumbe waache mambo ya kindezi.
20230129_170913.jpg
 
Jamani tuchukue tahadhari, tuendelee kuomba maombi ya TOBA na REHEMA Kwa Nchi yetu Tanzania.

Adui amedrop kirusi kingine mtaani, tupambane nacho kifutike na kupotelea kusikojulikana.

Kwa IMANI tumeshinda kama tulivyoshinda na uncle Magu.

Aamen
Kirusi gani hicho mkuu?
 
Kuna kitu kimenishangaza Jana watu wazima na watoto walikuwa wagonjwa kuharisha cha ajabu ni nikampigia jamaa mmoja nje ya nchi nae akanambia Hali ni hiyo hiyo homa na kuharisha...
Tuongeze tu Umakini ktk kujitibu, tusijedhani ni homa, tumbo au mafua ya kawaida.

Na ni all over, Si hapa mjini pekee.
 
Kuna kitu kimenishangaza Jana watu wazima na watoto walikuwa wagonjwa kuharisha cha ajabu ni nikampigia jamaa mmoja nje ya nchi nae akanambia Hali ni hiyo hiyo homa na kuharisha...
Ina maana hiki kinachotokea hapa mtaani watu wengi wakiugua Hata hapa kwangu ni new syndrome!!?

Mungu tuponye na hii kitu!!

Kuna trend ya mafua kitaa na kuhara tumbo!halafu inakondesha sana no limuona jirani majuzi halafu hasikii mseto!!!
 
Duuh,au ndi hii imenikamata siku ya pili sasa mafua,ila kuendesha siendeshi
 
Back
Top Bottom