Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
..Kheri ya mwaka mpya 2023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Kheri ya mwaka mpya 2023
[emoji848][emoji1783][emoji1783] peleka upopoma kule na terehe zakoMarch 20 - 2023 aisee.... thank me badae! Nawapenda sana!! [emoji120][emoji123][emoji257]
Nitakusubiri hata kufa, tamthilia niipate hadi mwisho.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]the meal was ready long time ago! its just the serving table isnt ready
Respect yoga[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]the meal was ready long time ago! its just the serving table isnt ready
Possible kabisa, maana hichi kimya sio poa! Mzima wa afya kweli?!! Ngoja tuskilizie.Born town wa yoga haonekani kwenye media au tutamuona kwenye episodes. Nasikia tangu November huko alipotoa post sijui sijui sijui sijui kinachoendelea. Leta mwendelezo labda akina Mzee na new CEO they have made a move.
Possible kabisa, maana hichi kimya sio poa! Mziwa wa afya kweli?!! Ngoja tuskilizieBorn town wa yoga haonekani kwenye media au tutamuona kwenye episodes. Nasikia tangu November huko alipotoa post sijui sijui sijui sijui kinachoendelea. Leta mwendelezo labda akina Mzee na new CEO they have made a move.
Kule Mkoani PaKa kaweka mrithi wake kwenye genge la usalama wake.Born town wa yoga haonekani kwenye media au tutamuona kwenye episodes. Nasikia tangu November huko alipotoa post sijui sijui sijui sijui kinachoendelea. Leta mwendelezo labda akina Mzee na new CEO they have made a move.
Mwigulu Yuko pembeni ya sa100 aulizia mikopo Kwa alokaa nao.View attachment 2489372View attachment 2489374View attachment 2489377
Ndio wawekezaji kama hawa, Jiwe aliwafukuza sababu walikuwa wa Born Town? Sasa mama anawarudisha? au nae anatengeneza wake? ili ampoteze Born Town?! Game ngumu sana hii!
[emoji1787][emoji1787]Mwigulu Yuko pembeni ya sa100 aulizia mikopo Kwa alokaa nao.
ikimaanishaThe old boss namwita Upatu shujaa.
Kumbe upo hai nshomile, members wakajua na wewe ulikuemo ajalini.Siory, sometimes things happen, i cant explain dear!!
[emoji23][emoji23]Mimi nahisi born town anataka kurudi nyumba nyeupe. Maana siku za hivi karibuni amekua mtu wa kupenda sana kideo. He's everywhere!
Mara yuko kwenye harambee, mara kwenye matamasha ya bongo fleva, mara ziara huko kusini. Uliona wapi mstaafu anakua na pirika namna hii?
Something smells fishy!
[emoji848][emoji848][emoji848]Mimi nahisi born town anataka kurudi nyumba nyeupe. Maana siku za hivi karibuni amekua mtu wa kupenda sana kideo. He's everywhere!
Mara yuko kwenye harambee, mara kwenye matamasha ya bongo fleva, mara ziara huko kusini. Uliona wapi mstaafu anakua na pirika namna hii?
Something smells fishy!