Dark days 17/03/20...

Born town wa yoga haonekani kwenye media au tutamuona kwenye episodes. Nasikia tangu November huko alipotoa post sijui sijui sijui sijui kinachoendelea. Leta mwendelezo labda akina Mzee na new CEO they have made a move.
Possible kabisa, maana hichi kimya sio poa! Mziwa wa afya kweli?!! Ngoja tuskilizie
 
Born town wa yoga haonekani kwenye media au tutamuona kwenye episodes. Nasikia tangu November huko alipotoa post sijui sijui sijui sijui kinachoendelea. Leta mwendelezo labda akina Mzee na new CEO they have made a move.
Kule Mkoani PaKa kaweka mrithi wake kwenye genge la usalama wake.

Amenusa harufu ya tabia ya Francophone Countries?
 
Mimi nahisi born town anataka kurudi nyumba nyeupe. Maana siku za hivi karibuni amekua mtu wa kupenda sana kideo. He's everywhere!

Mara yuko kwenye harambee, mara kwenye matamasha ya bongo fleva, mara ziara huko kusini. Uliona wapi mstaafu anakua na pirika namna hii?

Something smells fishy!
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…