Yupo anaandaa mkeka japo unamgomeaYoooooooooooogaaaaaaaa 🍻
Sidhan kama itafunika episode ya kwanzaYupo anaandaa mkeka japo unamgomea
Haiwezi funika ila tayari hadithi ilashaenda mrama na mfuatano wakeSidhan kama itafunika episode ya kwanza
First is always best 🍻
Fafanua tafadhali...Ana vitu vingi sana nyuma ya pazia. Ananifanye niwaze kuwa kuna watu anawatumia ujumbe waache mambo ya kindezi.
View attachment 2499513
Sasa hivi anazunguka kwa waganga wake wa kienyeji tu.Possible kabisa, maana hichi kimya sio poa! Mzima wa afya kweli?!! Ngoja tuskilizie.
Kirus gani hicho type kidogoJamani tuchukue tahadhari, tuendelee kuomba maombi ya TOBA na REHEMA Kwa Nchi yetu Tanzania.
Adui amedrop kirusi kingine mtaani, tupambane nacho kifutike na kupotelea kusikojulikana.
Kwa IMANI tumeshinda kama tulivyoshinda na uncle Magu.
Aamen
Ongeza Umakini, utasikia soon.Kirus gani hicho type kidogo
Kirusi gani hicho mkuu?Jamani tuchukue tahadhari, tuendelee kuomba maombi ya TOBA na REHEMA Kwa Nchi yetu Tanzania.
Adui amedrop kirusi kingine mtaani, tupambane nacho kifutike na kupotelea kusikojulikana.
Kwa IMANI tumeshinda kama tulivyoshinda na uncle Magu.
Aamen
COVID 23 is real mkuu,mtaani kimenuka.Kirusi gani hicho mkuu?
YaaniCOVID 23 is real mkuu,mtaani kimenuka.
Kuna kitu kimenishangaza Jana watu wazima na watoto walikuwa wagonjwa kuharisha cha ajabu ni nikampigia jamaa mmoja nje ya nchi nae akanambia Hali ni hiyo hiyo homa na kuharisha...Ongeza Umakini, utasikia soon.
Mtaa gani? Kina athari sifa za COVID - 19?COVID 23 is real mkuu,mtaani kimenuka.
Tuongeze tu Umakini ktk kujitibu, tusijedhani ni homa, tumbo au mafua ya kawaida.Kuna kitu kimenishangaza Jana watu wazima na watoto walikuwa wagonjwa kuharisha cha ajabu ni nikampigia jamaa mmoja nje ya nchi nae akanambia Hali ni hiyo hiyo homa na kuharisha...
Ina maana hiki kinachotokea hapa mtaani watu wengi wakiugua Hata hapa kwangu ni new syndrome!!?Kuna kitu kimenishangaza Jana watu wazima na watoto walikuwa wagonjwa kuharisha cha ajabu ni nikampigia jamaa mmoja nje ya nchi nae akanambia Hali ni hiyo hiyo homa na kuharisha...
Ina maana hiki kinachotokea hapa mtaani watu wengi wakiugua Hata hapa kwangu ni new syndrome!!?
Mungu tuponye na hii kitu!!
Kuna trend ya mafua kitaa na kuhara tumbo!halafu inakondesha sana no limuona jirani majuzi halafu hasikii mseto!!!
Pambana kiume.Duuh,au ndi hii imenikamata siku ya pili sasa mafua,ila kuendesha siendeshi