Dark days 17/03/20...

Umebaki mwezi mmoja kuikumbuka siku Ile ya MAJONZI ktk Nchi yetu.

Siku kama ya Leo mwaka 2021 chanzo kikuu Cha taarifa alikuwa KIGOGO, while shirika la utangazaji nchini lilikuwa kimya,

Tungetangaziwa kuwa Yu mgonjwa tungemuombea.

TUMESAMEHE na tunasonga mbele.

Miradi uloanzisha inakamilishwa ingawa Bei ya Mchele imetoka 1000 Hadi 3500,

Tutafika tu.

Aamen
 
Sema tu umemiss story, huna lolote!!!
Story ilikuwa nzuri lkn muda wakusubiri muendelezo uneifanya isahaulike na isitamanike tena.. Kwaina ya story najua hawezi kurudi tena hivyo nimeshaipotezea.. Sijamiss chochote
 
Story ilikuwa nzuri lkn muda wakusubiri muendelezo uneifanya isahaulike na isitamanike tena.. Kwaina ya story najua hawezi kurudi tena hivyo nimeshaipotezea.. Sijamiss chochote
Fuatilia unabii juu ya callender ya unabii ya kiyahudi kuhusu 2023.

20oct 2022- 20March 2023..

Simulizi itakuwa very....
 
Fuatilia unabii juu ya callender ya unabii ya kiyahudi kuhusu 2023.

20oct 2022- 20March 2023..

Simulizi itakuwa very....
Mkuu

Kuna uzi wa Joshua justine unaohusu matetemeko huko mwanza,Dar,kimbunga Arusha na dodoma AISEH!

Mi nimeogopa Sana AISEH!

Sasa ndio tusiende huko mwaka huu!!?

Ndugu ZETU je!!?

Halafu Mungu hajabatilisha yule mtumishi kasema Mungu lazima apige nikiwaza napata uoga !

Na huko Bungeni majengo na kimbunga hicho vitisho aiseh Sana TU!!!
 
Maeneo yanayotajwa ndo Pana Malango ya kuzimu, so kipigo hakiepukiki.

Nilikwambia habari ya Mungu kuja kukikalia KITI hapa NYIKANI ukauliza ni lini,

Muda ndo huu, yaani kuanzia mwaka huu 2023 na kuendelea ni bandika bandua.

Turudi msalabani, TUOMBE TOBA na REHEMA Ili Mungu atuponye sisi na family zetu, bt kipigo Kwa waovu Kiko pale pale.

Ili Mungu akae kitini vizuri,lazima awasafishe waovu, hawezi tawala na waovu, Mungu ni mtakatifu.

Maombi ya watakatifu ndo yanasaidia Hali tuliyonayo, tofauti na hapo,

Malaika akiliachilia JIWE aliloshikilia juu ya Bahari, Dar yote Hadi bagamoyo itamezwa na Bahari, maana hapo ferr na b.moyo ndipo yalipo malango ya kuzimu na makafara ya watu wasio na HATIA hufanyika.
 
Mkuu

Kama mungu ataua waovu wote hapa Tz!nani atapona!!?

Watakatifu watakaopona ni wangapi!!?

Maana nionavyo waovu ni wengi Sana Hadi wale wanaotegemea mitishamba kama dawa za kazi zao yaani wanaotumia uganga Baada ya KUKOSA suluhisho la Biashara au kazi ZAO!

Mbona watz wengi watakufa kama no hivyo!!?

Watapona wangapi!?

Kati ya watu million 60 tuta(wata)baki wangapi!!?

SIPATI picha KABISA!
 
Ni kukubali tu kubadilika na kurudi Mungu anavyotaka.

Israel walishajua na wakaamza maombi baada ya Ule unabii niliouleta juu ya 2023 Kutoka Kwa Rabbi wa kule Israel,

Utaona tetemeko limepiga Turkey na Syria lilipita Israel ingawa madhara hayakuwa makubwa kwao,

Mungu hajawahi adhibu WANADAMU bila Kutoa taarifa,

Njaa Kali inakuja nchini na manabii wameshatoa habari bt viongozi wamelala!!!

Vita ya Urusi na Ukraine imeshachukua hatua ingine baada ya Rais wao kukimbia,

Ukikoswa na Upanga wa vita, tetemeko linapita nawe, ukiokoka tetemeko, njaa inapitia nawe, ukiokoka njaa kimbunga kinapita nk nk.

Dunia imeshaingia nyakati za hatari, turudi Kwa Mungu ndo salama yetu.
 
Wamitishamba hawana wao si wanatatua shida zao shida iko wapi wajameni
 
Tarehe hizi alianza KMK.
 
uzii huo upo wapi ili niusome
 
RASIMU alosimamia Judge WARIOBA inarudi mezani na marekebisho kdg yanafanyika hatimaye tunapata KITABU kipya.

Maridhiano yanaleta positive impact ktk KAMPUNI. VODKA asibezwe ni game changer. Ni mmoja wao.

Ameeeen
VODKA=A man on FURAHISHA ground.

Wapi SAMURAI!!!
 
.
 
Lete story SAMURAI, kijiwe kimepoa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…