Dark days 17/03/20...

Ndugu LIGNAS soma hapa. Page 334 Uzi wa yoga Juu ya unabii juu ya 2023.
 
Kazi imeanza!?kuelekea March 20 ya yoga!!?

Just a story!!!
No napitia tu comments.

Tunaendelea na Maombi juu ya nchi.

Mapigo yameelekezwa ktk maeneo 3.

1. Nchi. 2. Uongozi. 3. KANISA.

1. NCHI.

Damu inapomwagwa bila HATIA, Ardhi hufunua kinywa kuimeza. Taarifa hupanda Kwa muumba.

Damu Ina TABIA ya kusema, na kudai KISASI, mfano ni Cain alipomuua Habili. Damu iliomba KISASI Kwa aliyeimwaga.

Ardhi inapoletewa Damu Badala ya mbegu na maji Kwa ajili ya KILIMO matokeo Huwa ni,

MATETEMEKO, TUFANI baharini, UKAME na NJAA.

2. KANISA.

Mungu alimpa Nchi Adam ailime na kuitunza, hivyo Hadi tunavyoongea KANISA ndo limekabidhiwa Nchi.

KANISA limekabidhiwa Nchi Ili kuwaombea viongozi Ili watimize mapenzi ya Mungu juu ya watu.

KANISA la sasa limevamiwa na Manabii wa Uongo, wanaibia watu pesa na kuwapa mafuta ambayo huleta mabaya zaidi juu ya watu.

Wanauza chumvi, wanafanya UZINZI madhabahuni, wanawalazimisha waumini wauze Mali zao Ili wajinufaisha wenyewe, hawawaambii UKWELI waumini waache dhambi na WASILETE mapato yatokanayo na wizi madhabahuni.

ADHABU juu ya KANISA ni juu ya manabii wa uongo, itakuwa juu ya Kondoo pia sababu wameacha kuwafuata Wachungaji wa Kweli na kuwafuata waongo.

3. VIONGOZI wa watu.

Dhuluma juu ya raia zinapotokea, mauaji, RUSHWA nk viongozi wasipotenda HAKI, ADHABU yaja juu Yao, Nchi itapovurugwa watakosa KIBALI juu ya watu.


SULUHU YA KUEPUSHA mabaya JUU ya NCHI, UONGOZI na KANISA.

1. KIBALI JUU YA NCHI.

Mungu amekasirika na amekusudia kuifuta Nchi Kwa mapigo mbalimbali sababu ya maovu hapo juu.

Tuombe Ili Tupate KIBALI juu ya nchi yetu. Mungu asiifute Nchi yetu juu ya uso wa Dunia.

2. TUOMBE Nchi ipate uongozi wa ROHO MTAKATIFU juu ya viongozi, KANISA na raia Kwa ujumla.

Watu wakiongozwa na Roho MTAKATIFU, hapatakuwa na RUSHWA, USHOGA, wizi, UZINZI, dhuluma, auaji au Roho ya Uasi Kwa vijana juu ya JAMII au Nchi.

3. TUOMBE HOFU ya Mungu itawale juu ya nchi.

Palipo na HOFU ya Mungu Kwa viongozi, KANISA na raia Kwa ujumla patakuwa na HAKI, UMOJA na UPENDO ktk Nchi na watu wake.

Tukiomba juu ya hayo mambo 3, Nchi itastawi, na ghafula Tutaona viongozi wanaacha ubinafsi na kujali watu sababu Mungu ataingia ktk mioyo Yao na kubadilisha.

Tuendelee kuomba, imebaki miezi 10 tu.

Ameeen.
 
Miezi kumi ya maombi!

Barikiwa mtumishi!!
 
Naomba kuuliza swali.

Kwanini nchi yetu iadhibiwe eti kwa kwasababu ya kwenda kinyume na Mungu wakati kuna nchi nyingi zina uovu zaidi yetu?

Tuna uhusiano gani na Mungu, kwanini tufutwe juu ya uso wa dunia, sisi ni wabaya sana kiasi hicho au ni the so called chosen nation?

Naomba majibu mtumishi kwa duku duku langu kama hutojali.

Ahsante na ubarikiwe sana.
 
Nawait
 
LABDA hujawahi soma comments zake zote!!

Inaaminika ki Biblia nchi yetu ya ziwa nyanza Ndio itakuwa KIMBILIO la mataifa yote kwa wale watakatifu Yaani wamwabuduo katika Roho na kweli!

Kipindi Hicho Dunia nzima itakua chini ya utawala wa shetani ya masih ja dal au mpinga kristo Sasa Hapa KWETU Ndio pekee MUNGU atatawala kupitia mtumishi wa MUNGU Yaani hakuna Rais muovu atakaesimama!!

Sasa kabla MUNGU hajatawala nchini mwetu Lazima maandalizi yafanyike nayo ni operation ondoa waovu wote nchini kupitia majanga,machafuko,njaa na magonjwa !

Hiyo safisha itawakumba waovu wote kabla MUNGU hajatawala kupitia mtumishi wake!!

Inaaminika baada ya mama anaefuata ni mtumishi wa MUNGU Ili kusafisha uovu na kuweka mfumo Rasmi wa kimungu nchini!!

Na huyo MTUMISHI anafahamika ameshatajwa TAYARI HUMU!!

Knowledge extracted From uzi ule wa Tumia akili wa "FDR na utawala wa miaka 12 nchini"

Mdau alikoment mule!!

Tutakaofanikiwa kuwepo kunakomajaaliwa kuanzia 2026 tunaweza tukaona hayo baada ya safisha safisha inayotabiriwa!!

Hiyo ni intro atakuja MWENYEWE in detail ZAIDI!!
 
Mambo makubwa sana haya mkuu
 
Naomba link ya huo uzi japo naogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…