SABABU ni zifuatazo,Naomba kuuliza swali.
Kwanini nchi yetu iadhibiwe eti kwa kwasababu ya kwenda kinyume na Mungu wakati kuna nchi nyingi zina uovu zaidi yetu?
Tuna uhusiano gani na Mungu, kwanini tufutwe juu ya uso wa dunia, sisi ni wabaya sana kiasi hicho au ni the so called chosen nation?
Naomba majibu mtumishi kwa duku duku langu kama hutojali.
Ahsante na ubarikiwe sana.
1. Tanzania ni TAIFA la AGANO.
Ktk vitabu vya unabii, Taifa la agano limeandikwa Kwa CODES, bt siku hizi za mwisho limefunuliwa.
Israeli ni TAIFA la AHADI, Tanzania ni TAIFA la AGANO.
Israeli walipomkataa YESU alichagua Taifa lake ambalo litatumika kama kimbilio la waktisto wote Duniani.
Israel Wana dini Yao ya uyahudi Hadi Leo,Waamini KRISTO Yesu wapo Wachache sana.
Waisraeli kama Taifa Bado wanamsubiri masihi wao, Mpinga kristo atatoka Israeeel tajiri, mtawala ambaye atashirikiama na Romee atakayempa nguvu.
Wote wamwaminio Yesu kama KRISTO pekee lazima waikimbie hiyo vita. Na Mahali pa kukimbilia na kujificha ndo Tanzania, Taifa la NYIKANI.
Jambo Hilo ndo linafanya Mungu atengeneze mifumo yake hapa Ili kuwapokea waktisto Dunia nzima.
Majanga yaja Ili kuwapunguza waovu Ili kuwapokea watu wake Kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Kupona ni ubadilike au usubiri kupunguzwa.
Kuna Mapambano ya kimfumo na kiutawala ambapo kiongozi wa juu atawekwa MLAWI kabisa na atatawala Kwa kufuata maelekezo ya Mungu.
Dini zote zitapoungana, Tanzania pekee ndo itagoma na kubaki na Imani ktk Mungu. Issue ya CORONA ikufumbue macho, Dunia nzima iliufyata Kwa mnyama bt Tanzania iligoma. Ndo ujue jinsi Gani Taifa hili ni muhimu Kwa Dunia.
INJILI ya ufalme kuwaleta wote wamwaminio kristo itaanzia Tanzania, INJILI ya TOBA na UAMSHO itaanzia hapa kabla ya unyakuo wa KANISA.
Vita ya TATU ya Dunia ni vita ya kidini, mifumo yote ya kidunia inajitengeneza kupokea utawala wa Mpinga kristo, na DINI moja, Sarafu moja nk.
Tayari wale Malaika wawili wameshuka na soon watawaongoza watumishi kuhubiri INJILI ya Ufalme wa Mungu Kwa Dunia nzima Kutokea Tanzania.
Nabii ELIA na Nabii Musa wale manabii wawili waliotabiriwa wameshakuja Tanzania ktk form ya WANADAMU kabisa ambapo Si Rahisi kuwafahamu Hadi watapoanza KAZI.
2. INAPENDWA SANA,
Israeli imepigwa sana ktk maandiko na kupelekea utumwani mara kadhaa.
Hata mtoto anayependwa huadhibiwa sana Ili akae kwenye mstari.
3. UZINZI.
IBADA juu ya miungu mingine kibiblia ni UZINZI, Taifa ni la Mungu,iweje viongozi waingie maagano na muungu ya moto wa kichawi unaozungushwa Nchi nzima? Kwann wanafanya makafara Ili kuendelea kushikilia watu mateka?
Kuibuka manabii wa uongo wauza chumvi, mafuta, udongo nk wanaowaibia watu baraka zao na kuwapa magonjwa na LAANA.
Nabii FESTO CHINOLO, na manabii kadhaa U-Tube kama uko makini na unaongozwa na Roho MTAKATIFU, wanahubiri ujumbe Ule ule juu ya yajayo ULIMWENGUNI na juu ya Tanzania.
Tunaishi nyakati za kutisha, Uwe macho mwana wa Mungu.
ANGALIZO; Ninaposema MKRISTO namaanisha, mwanadamu yeyote anaamini juu ya Mungu. Njia ni mbili tu tuendako,
1.Wamwaminio Yesu kama KRISTO na Mwana wa Mungu ambaye ndo anakuja kuhukumu Ulimwengu.
2. Wamwaminio SHETANI, Mpinga kristo au Masih jadal.
Dini zote kama mfumo zitachikuliwa na mnyama, so unaejificha ktk dini uare in trouble.
Yesu alikuja Duniani kuwambia WANADAMU wote watubu na kuacha DHAMBI.
Hakuja kuhubiri Dini.
Mfalme wa WAFALME YESU KRISTO, Yoshua Amashia , ISSA bin Mariam anakuja kutawala Duniani.
Ameeen