Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ukifuatilia Bungeni wana utaratibu wa kuanza session na ratiba ya bunge kwa dua na sala kila siku.

Pia tuna katiba inatambua na kuruhusu uhuru wa kuabudu kwa watu wote kila mmoja kwa imani yake.

Sasa kama huko bungeni wanaanza siku kwa kumuomba Mungu kwa dua na sala kwanini iwe ni tatizo mkuu wa nchi kutangaza maombi kwa taifa?

Bungeni wanaomba Mungu kwanini mkuu wa nchi kutangaza maombi iwe tatizo?
Kuna wakati shetani mwenyewe anaweza kuongea kupitia kinywa Cha mwanadamu.

Mfano mtu aliyepagawa na mapepo, aweza ongea mambo ambayo akiulizwa BAADAYE haezi kumbuka,

Daudi aliingiwa na mawazo asijue yametoka wapi, ghafula akaamua kuwahesabu wananchi anaowaongoza, Nchi ilipata ADHABU Kutoka Kwa Mungu sababu mawazo Yale aliyaweka SHETANI ndani ya Daudi Mfalme.

Petro aliposikia YESU akisema atakufa baada ya siku kadhaa, aliropoka na kusema, Hutakufa, MIMI Petro nitakufa Badala Yako, Yesu alijua aliyeongea Si Petro Bali ni SHETANI kupitia kinywa Cha Petro akamwambia Rudi nyuma SHETANI maana u kikwazo kwangu.

So usishangae kauli kama hizo za kupinga mambo yenye TIJA Kwa Taifa.
 
Swali,,,

Ina maana hao watu Nusu Malaika ni kwamba wanaishi kabisa kama raia wa Tanzania?

Yaani wamezaliwa, Kusoma na kulelewa kwenye mazingira yetu ya kawaida kabisa?

Na watu hao wanajitambua kabisa kwamba wao ni Nusu mtu musu malaika?

Wanaujua wajibu wao ipasavyo?
Yule mwanamke aliyekamatwa na kuachiwa majuzi kule nyanza ni mmoja wa PEPO kabisa aliyezaliwa na mwanamke na kuishi kama WANADAMU wengine.

Watu wa aina hiyo ni wengi kuliko unavyoweza kudhani.

Kwa wastani ni above 60% ya population yote on earth ni nusu human nusu Pepo.
 
Kuna wakati shetani mwenyewe anaweza kuongea kupitia kinywa Cha mwanadamu.

Mfano mtu aliyepagawa na mapepo, aweza ongea mambo ambayo akiulizwa BAADAYE haezi kumbuka,

Daudi aliingiwa na mawazo asijue yametoka wapi, ghafula akaamua kuwahesabu wananchi anaowaongoza, Nchi ilipata ADHABU Kutoka Kwa Mungu sababu mawazo Yale aliyaweka SHETANI ndani ya Daudi Mfalme.

Petro aliposikia YESU akisema atakufa baada ya siku kadhaa, aliropoka na kusema, Hutakufa, MIMI Petro nitakufa Badala Yako, Yesu alijua aliyeongea Si Petro Bali ni SHETANI kupitia kinywa Cha Petro akamwambia Rudi nyuma SHETANI maana u kikwazo kwangu.

So usishangae kauli kama hizo za kupinga mambo yenye TIJA Kwa Taifa.
Kuna unabii wa Mwasha. 22,Feb. 2023.

Mtume na Nabii Shile Mwasha (Nabii wa Rufaa) wa Huduma ya Ufunuo wa Kristo na kanisa la Miujiza lililopo Bunju Kilimani DSM,February 22,2023,unasema hivi;

Kwa ufupi, anasema jina la mwaka huu 2023 ni mwaka wa moto. Anaiona Tanzania mpya lakini watu wanatakiwa kuomba sana.

Anasema ni mwaka wa moto kwasababu ni mwaka wa majanga ambayo yatatokea kwa kufuatana.

Kitakachomuokoa mtu ni kuwa kwenye moto wa Roho Mtakatifu. Watanzania wamgeukie Mungu maana ndiye atakayewaokoa. Dunia imgeukie Mungu.

Akatolea mfano wa Musa alivyoona moto akasema nitageuka ndani ya maono haya.

Amezungumzia majanga ya Uturuki, kuwa Mungu anaongea na nchi kwamba zimgeukie Yeye na majanga yataisha na watu wataokolewa.

Lakini anasema,haya majanga mwisho wake utakuwa ni mwezi wa nne. Anasema ameona katika ulimwengu wa roho kuwa mwezi wa tatu majanga yatakuwa mengi sana.

Pia Mungu amemwambia aiombee Jumuiya ya Afrika Mashariki kwani alimuona mmoja wa Maraisi wa jumuiya hiyo akipunga mkono, akasema hatamtaja.

Anasisitiza tuiombee sana nchi yetu, viongozi wetu na familia zao.

Chanzo. Malunde. com,Opera News.

Ushauri wangu. Kwanini viongozi wetu wa dini wasikae wakajadili na kuwahimiza wafuasi wao waombee nchi badala ya kusubiri mpaka majanga yatokee.

Biblia inasema, "

Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekeza na kuomba nami nitaiponya nchi "

Kwahiyo Watanzania wakiomba Mungu atatuepushia mbali na majanga.
 
Sio fix, nenda U-Tube, ushuhuda wa alioonyeshwa Adam Mbaya Kutoka congo, PROMOVER Tv. Part 36.

Ina TITLE: Nililiona Jina la OLD CEO likifanyiwa njama ktk kitengo Cha poison KUZIMU gizani.

Ulimwengu wa Roho hakuna Siri.

Proof ndo huwezi kuwa nayo kutestify ktk court za WANADAMU,

Hivyo inabaki kuwa tetesi.
Bwana asifiwe Mtumishi
 
Kuna unabii wa Mwasha. 22,Feb. 2023.

Mtume na Nabii Shile Mwasha (Nabii wa Rufaa) wa Huduma ya Ufunuo wa Kristo na kanisa la Miujiza lililopo Bunju Kilimani DSM,February 22,2023,unasema hivi;

Kwa ufupi, anasema jina la mwaka huu 2023 ni mwaka wa moto. Anaiona Tanzania mpya lakini watu wanatakiwa kuomba sana.

Anasema ni mwaka wa moto kwasababu ni mwaka wa majanga ambayo yatatokea kwa kufuatana.

Kitakachomuokoa mtu ni kuwa kwenye moto wa Roho Mtakatifu. Watanzania wamgeukie Mungu maana ndiye atakayewaokoa. Dunia imgeukie Mungu.

Akatolea mfano wa Musa alivyoona moto akasema nitageuka ndani ya maono haya.

Amezungumzia majanga ya Uturuki, kuwa Mungu anaongea na nchi kwamba zimgeukie Yeye na majanga yataisha na watu wataokolewa.

Lakini anasema,haya majanga mwisho wake utakuwa ni mwezi wa nne. Anasema ameona katika ulimwengu wa roho kuwa mwezi wa tatu majanga yatakuwa mengi sana.

Pia Mungu amemwambia aiombee Jumuiya ya Afrika Mashariki kwani alimuona mmoja wa Maraisi wa jumuiya hiyo akipunga mkono, akasema hatamtaja.

Anasisitiza tuiombee sana nchi yetu, viongozi wetu na familia zao.

Chanzo. Malunde. com,Opera News.

Ushauri wangu. Kwanini viongozi wetu wa dini wasikae wakajadili na kuwahimiza wafuasi wao waombee nchi badala ya kusubiri mpaka majanga yatokee.

Biblia inasema, "

Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekeza na kuomba nami nitaiponya nchi "

Kwahiyo Watanzania wakiomba Mungu atatuepushia mbali na majanga.
2023 ni mwaka MTATA.

Nimemsikia ameongea pia tusipoomba vita ya Urusi na Ukraine yaeza chukua form nyinfine, chiine ikaingia na nuclear zikatumika, anasema ameona tetemeko lingine kubwa zaidi linalofikia kipimo Cha 12...,

Tanzania INAPENDWA SANA na Mungu ndomana ametuma wajumbe wengi juu ya nchi kusema ujumbe mmoja.

Nafurahi kusikia ujumbe huo ukipokelewa na vyombo vingi vya habari nchini.

Timeframe ni 20 Sept 2022 Hadi 20 March 2023.

Baada ya hapo patatulia Kwa muda.
 
Ni kweli Mungu hulithibitisha neno lake kwa vinywa vya manabii 2.

Halafu hata kama siyo kweli kwani tukiombea nchi kwa umoja wa kitaifa kuna shida gani? Mbona mambo mengine huwa tunaomba pamoja?

Yasipotokea majanga baada ya maombi hata kama maono hayakuwa sahihi basi maombi hayo yanabaki kuwa ya akiba yataisaidia nchi wakati mwingine.

Ni bora kuomba wakati wa heri kuliko wakati wa shari.
 
Kuna wakati shetani mwenyewe anaweza kuongea kupitia kinywa Cha mwanadamu.

Mfano mtu aliyepagawa na mapepo, aweza ongea mambo ambayo akiulizwa BAADAYE haezi kumbuka,

Daudi aliingiwa na mawazo asijue yametoka wapi, ghafula akaamua kuwahesabu wananchi anaowaongoza, Nchi ilipata ADHABU Kutoka Kwa Mungu sababu mawazo Yale aliyaweka SHETANI ndani ya Daudi Mfalme.

Petro aliposikia YESU akisema atakufa baada ya siku kadhaa, aliropoka na kusema, Hutakufa, MIMI Petro nitakufa Badala Yako, Yesu alijua aliyeongea Si Petro Bali ni SHETANI kupitia kinywa Cha Petro akamwambia Rudi nyuma SHETANI maana u kikwazo kwangu.

So usishangae kauli kama hizo za kupinga mambo yenye TIJA Kwa Taifa.
Amen mtumishi.

Sisi tunaoamini katika Mungu tuendelee kuombea taifa pasi kuchoka.
 
Anaweza ishi family maskini kabisa, au akaishi mahali akawa na mwonekano kama wa mwendawazimu,

Anaweza kuja kama abiria na akapanda bus, treni au meli asitambulike, Nia ni Kuokoa au kuangamiza, inategemea ameagizwa Kutoka JUU au CHINI.

Mungu alipotaka kuichoma Sodoma na gomora aliwatuma Malaika waliovaa miili ya WANADAMU kabisa,

Yohana Mbatizaji alikuja akawa akiishi porini akila asali na nzige,

Wapo wengine walielekezwa kuoa na kuzaa na makahaba kabisa nk nk.

Unaweza pokea mtu mwenye shida na kumkaribisha nyumbani ukamsaidia chakula na malazi usijue ni Malaika katumwa kwako ku unlock jambo lilofungwa kwako.

In most cases hawaji ktk ufahari na utajiri. Bt nguvu zao hazielezeki.
Naomba kuuliza,
Ukimuona mtu wa namna hiyo wawezaje kumtambua kama huyu ni malaika?
 
Ni kweli Mungu hulithibitisha neno lake kwa vinywa vya manabii 2.

Halafu hata kama siyo kweli kwani tukiombea nchi kwa umoja wa kitaifa kuna shida gani? Mbona mambo mengine huwa tunaomba pamoja?

Yasipotokea majanga baada ya maombi hata kama maono hayakuwa sahihi basi maombi hayo yanabaki kuwa ya akiba yataisaidia nchi wakati mwingine.

Ni bora kuomba wakati wa heri kuliko wakati wa shari.
Siku yaliporopotiwa Matetemeko Turkey na Syria, hapa pia liliripotiwa Tanga kama ckosei bt Kwa kiwango kidogo,

Juzi Turkey limerudia tena tetemeko Kwa kipimo Cha 6 wakati hawajamaliza Bado uokozi wa watu ktk vifusi.

Dodoma na singida waneriport Matetemeko, na Kuna Mahali Hadi ardhi imepasuka,

Tunataka kikubwa kipi kitokee Ili tujue Kweli ni Mungu asemaye na watu wake?
 
Naomba kuuliza,
Ukimuona mtu wa namna hiyo wawezaje kumtambua kama huyu ni malaika?
Mchawi akikutana na mchawi mwenzie popote Huwa wanatambuana, Wana ALAMA ktk nyuso zao.

Likewise, Mtu wa Mungu akikutana na Mwenzie Kutoka JUU lazima atamtambua, Ndani ya Watakatifu yapo macho ya Rohoni yanayoona na kutambua. Ndani yetu anaishi aliye mkuu kuliko mkuu wa Dunia hii, shetani.

Asiyejishighulisha na kumtafuta Mungu, na hajihusishi na Waganga ni sawa na Mtu mwenye Almasi kubwa ndani ya mgodi wa Wachimbaji wadogo bila ulinzi wowote.
 
Rais wa Tanzania wa sasa ni Binadamu wa kawaida?

Au na yeye Katoka JUU?
 
Yule mwanamke aliyekamatwa na kuachiwa majuzi kule nyanza ni mmoja wa PEPO kabisa aliyezaliwa na mwanamke na kuishi kama WANADAMU wengine.

Watu wa aina hiyo ni wengi kuliko unavyoweza kudhani.

Kwa wastani ni above 60% ya population yote on earth ni nusu human nusu Pepo.
Zumarid?
 
Mchawi akikutana na mchawi mwenzie popote Huwa wanatambuana, Wana ALAMA ktk nyuso zao.

Likewise, Mtu wa Mungu akikutana na Mwenzie Kutoka JUU lazima atamtambua, Ndani ya Watakatifu yapo macho ya Rohoni yanayoona na kutambua. Ndani yetu anaishi aliye mkuu kuliko mkuu wa Dunia hii, shetani.

Asiyejishighulisha na kumtafuta Mungu, na hajihusishi na Waganga ni sawa na Mtu mwenye Almasi kubwa ndani ya mgodi wa Wachimbaji wadogo bila ulinzi wowote.
Asante.
Ninawezaje kupata hayo macho ya rohoni? napenda nione kwa jinsi ya rohoni.

Kama sijakosea ina maana pia Mtumishi wa Mungu kwa macho ya rohoni anauwezo wa kumtambua hata mchawi? Naomba elezea hii mtumishi.
 
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Kila mtu Huwa anawaona wachawi kupitia NDOTO uotazo, mchawi hujinuizia madawa Ili usimuone ktk ndoto, akija utaona unakimbizwa au kupambana na Wanyama mbalimbali au nyoka.

Kumuona mchawi Kwa sura yake inahitaji upige hatua zaidi kuyafungua macho ya Roho.

Ulimwengu wa Giza, au wale Kutoka chini wanaliita jicho la 3.

Wale wa Ulimwengu wa NURU yanaitwa MACHO ya ROHONI, ni mawili,

Kuyafungua macho hayo inahitaji kwanza kufanya Registration,

Registration ni kumkiri YESU kuwa Ni BWANA na mwokozi wa maisha Yako, TUBU DHAMBI na udhamirie kuziacha.

Baada ya kufanya Registration, Anza maombi ya Kila siku yasiyopungua saa 1 Kwa uchache kuomba ujazwe na HOLLY SPIRIT.

Holly Spirit ni ROHO wa YESU, alipopaa Mbinguni alimtuma huyo aje kukaa na kuwaongoza, kufafundisha wote waliomwamini YESU.

ROHO MTAKATIFU akiingia ndani ya mtu, humsaidia mtu kuyafungua MACHO ya ROHONI ambayo yalifungwa pale Adam alipoanguka dhambini na Mungu kumuacha.

Baada ya hapo, Utakuwa ukikutana na mchawi hatoweza kukutizama usoni, lazima akwepeshe macho ukimkazia na lazima utaiona HASIRA usoni mwake sababu unamshambulia kupitia Roho aliye ndani Yako na kumzidi nguvu.

Utaona na zaidi ya hapo, movies unazoziona wakionyesha mashetani na mapepo usidhani ni fix, ni HALISI yanaonekana kabisa.

Bt Ulimwengu huo Si lelemama unahitajika uwe mtu wa maombi Hasa, uwe Askari Hasa.

Unaweza ingia huko ukamkuta mtu wako wa karibu ni mchawi na ndo chanzo Cha mkwamo wako, hivyo ukalazimika kupambana nae,

Waeza gundua mke, baba, mama, uncle au shangazi ni mchawi, ndo litapotimia neno alisema Yesu kuwa, sikuja duniani kuleta Amani Bali upanga, mtu na mama yake, au mtu na mwanae, waeza kuwa maadui ktk Roho.

ANGALIZO: MUNGU ni Mmoja na YESU ndilo JINA Lake.

Amen.
 
Mungu=Yesu?? howww?
 
Back
Top Bottom