Dark days 17/03/20...

Too little mind
 
Huenda kijana wa the current CEO ndo yoga, unajuaje?
 
Kuna wadau wanauchukulia huu uzi so personal, wanareact kichizi kama the current CEO mpaka akanaswa.

Em tusome kama story tu, uamini ama usiamini we iweke kama story za alfu lela ulela wala hutoona tabu.
Mleta uzi katumia wahusika wake hao maCEO, chairman nk, kwanini sasa wewe upachike wako??

Kama unaona wanaendana basi ni kheri tu, mwisho wa siku unajitaftia magonjwa ya moyo kwa kukasirikia story za jf tu daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…