Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Something fishy.....was goin on,......

kwa miaka kadhaaa the CEO alikuwa na team yake ndogo iliyokuwa ikimpromote kila kona ya kampuni. Hii timu ilipewa mamlaka makubwa sana japokuwa wengi ndani ya timu hii hawakuwa wafanyakazi wa kampuni!

Mmoja wa viongozi wa timu hii ndio alipiga simu wakati flani kumnotfy the CEO kuwa the old CEO wants him out of the office! Huyu Alikuwa loyal sana, sanaaaaaa!!

Alimpenda sana new CEO, aliaminiwa pia! Yeye ndie mratibu wa external life ya CEO. kazi yake kuu ni kumsemea mazuri tu na kumpamba the CEO!

Alikuwa na vifursa fursa vya kupiga nakujipatia good life behind the scene in the name of CEO

So alikuwa wakwanza kutaka meeting na the CEO wadiscuss why their closest people are dying! Alikuwa na taarifa ficho aliyotaka personaly aitoe yeye!

Katika kuucheza mchezo kisasa the old CEO na team yake walitengeeza mazingira yakama kumframe the deep informal. Why?! Sabbu they want confussion!![emoji848] Ili the las task inayofuata isiwe ngumu saaaaana!!

Kwenye ujasusi unaetoa taarifa nawewe unatolewa taarifa! So these guy knew how to play the game!! They want confussion, misstrust kwenye team ya big boss!! They wanted him to intrapersonal conflict!.........[emoji12]

Walitaka pate woga!!!!

Chukuliwa kijana mmoja, well trained akamwita huyu kiongozi wa team B ya existing CEO akapewa info, kumhusu deep informal na vijana wengine walioaminiwa na CEO na kumgusia uhusiano wake na the old CEO akajifanya anampa kama speculations hivi yaani kama ana blow up the cover ya deep informal na vijana wengine pale in the head office!!

[emoji16][emoji16][emoji16]Tupicha picha twa mchongo na audio za vijana wakiwa kwenye convos wakimdiss CEO (sio deep informal Lakini[emoji848])


The boy (naushamba bila tafakuru) aka bite the poison[emoji16][emoji23][emoji23] with a rush akakimbia kutafuta a way ataonana na the big boss![emoji38][emoji38] Kumbe anatengeneza a very nice trap[emoji23][emoji23]


So the CEO agreed to the meeting! Kijana akaenda pale, akampenyeza taarifa, "boss your house is not safe, we need to cleen this house! Kuna watu wako hapa ni loyal kwa the old CEO, unahitaji mapumziko toka hapa nenda nyumbani pumzika kwanza tu check who is who!" Akasema anataarifa kumhusu mtuwake wakaribu kuwa ni loyal kwa adui yake![emoji18][emoji18][emoji18]

The CEO hofu ikamwingia, akashtuka sana na akakubali, akaamua kutoka kwenye nyumba ya kampuni akaenda kwake nje kidogo ya mji! Akiwa kule akampa assigmment kijana wake yule ahakikishe kabla ajarudi town awe amethibitisha hilo

Alimpa mamlaka yakuunda team kwa kutumia all security agency zilizo ndani ya kampuni kufanya kila linalowezekana! Aliwataka watrace everything! Wajue what is goin on!! Aliomba mpka external companies ziiingie kumsaidia kujua what was goin on!!


So the boss took a flight [emoji3575] chap kwa haraka mpaka kwake, wakati anaondoka the old CEO got the news[emoji16][emoji16][emoji16] akatoa notification haraka kwa vijana wake huyu asirudi!! [emoji38]

The boss wakati anaondoka akasema majukumu yote ya ofisi yataendela akiwa huko huko kwake, but akakata ties na deep informal! The boss akawa hajui amuamini nani au amuache nani!! He was confused and alone[emoji3][emoji26][emoji26]


Sasaaaa, mr old CEO kanyanyua simu kwenda moja of companies mshindani wa his old company!! Siunajua ma CEO huwa wanawatu wao kwenye kampuni shindani!?? [emoji849]

Wakmset mtu wao aombe kuonana na huyu CEO, kama vile wanataka kufanya joint share kukuza biashara kupu guza ushindani usio nafaida!! All resorces zikatumika in within 48 hrs bana [emoji57][emoji12][emoji12]

mwenyekiti wa kampuni husika alitamani sana one day awe powerfull like huyu CEO aliyeko madarakani kwenye hii kampuni ya mshindani wake!! Wakati huo huo huyu CEO hakupenda kupingwa wala ushindani kutoka kwa other companies, nayeye aliitaka hii kampuni ya huyu mwenyekiti ife iwe yake [emoji849][emoji57][emoji57][emoji850]

So kupokea wito wa mwenyekiti kuomba kuja nyumbani kwake kuzungumza how wanaweza shirikiana in business matters it was an advantage katika kuimeza kampuni hii shindani iliyokuwa inakuwa kwa kasi na kuua competition ya kibiashara

Without hesitation he agreed on the meeting!! Kumbe he agreed on his death........[emoji849][emoji26][emoji26]

So hearrenged the date of the meeting bila deep informal kujua! So for the first time the deep informal was out of the scene[emoji849][emoji848][emoji848]

What hapened to the deep informal.........[emoji16][emoji16][emoji16]

Muendelezo soma Dark days 17/03/20...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] naona hii inahusu kule Zanzibar na mzee wa usitutishe huku Yule jamaa wa ujiji akiwa ndiye joint bila kujijua ,
 
Kwa kipande hiki angalau matumain yanaanza kuonekana, ila vipi huyu new CEO hawezi kupandikizwa kunguni na tabasamu Kama alivyofanya kwa Magufuli.

Ila Mimi maombi yangu ni tabasamu apigwe apigwe apigwe mpaka achakae.
kumbuka the law of karma inafanya kazi hasa kwa late CEO, damu za akina [emoji3496]8, yule mwandishi na mr kuongea sana na wengine

kwahiyo acha karma ifanye kazi
 
Kumbe late ceo alikuwa sawa kuua na kupiga risasi wanafiq wote. YULE ALIKUWA KIONGOZI TUMEZINGIRWA NA FISI NA MBWA.ni bora angeendelea kuwamaliza mmoja mmoja. SASA born town si atamuua kila atakaekwenda kinyume nae. Watu wetu wa usalama tuwatafutie jina lingine ni UCHAFU.
vile vile ilikuwa ni halali the late CEO naye kurudishwa kuzimu sababu na yeye alifanya dhuluma ya uhai wa wengi
 
Kama ukitambua kuwa hela inaweza kumfanya hata ndugu yako wa damu akakuplot uende kuzimu kwa kupanga genge lake tu na masterplan nzuri basi hutashangazwa na kilichompata CEO the closest person is the one who can kill you.

Money the root of all Evil.
Haujui vyema siasa ilivyo huo achana nae ana kupotezea time, ktk siasa watu Wana salitiwa mpaka na wake Zao na watoto wa kuzaa, mwambie awe anasoma history vyema, kwani hajui kuwa Lumumba alisalitiwa na rafiki take wa karibu kabisa Mobutu
 
Kuna huyu assistant wa sasa wa CEO aliugua sana mpaka akazushiwa amekata kamba, hiki kipindi ilikuwa kwenye february last year, wakati huu watu wa karibu wa the late walikuwa wanapotea hovyo.

Jamaa mpaka alilia kwenye press, sasa sijui alilia nini, au na yeye alishika zile dokuromenti?
Lakini kama aligusa dokuromenti kwa kitu kilichowekwa pale ilikuaje akashinda umauti?

Halafu inaonekana kulikuwa kuna team tayari inajua hachomoi, kwa maana habari zilizagaa balaaa kwamba jamaa he is no longer with us... Mkuu hebu tujulishe hii imekaaje..?

Halafu alionekana amedhoofu na alikua anakohoa ovyo.

Nasubiri na hili utufafanulie kidogo..
Simple tu Kama hakuwa target unaitwa unaambiwa stay away from our mission unapewa antibiotics unapona Kisha una kuwa appointed na cheo kikubwa maisha yanaendelea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa jamaa anajua ukweli waliotaka kumpeleka kuzimu ni kina nani, ikawaje tena akawekwa kwenye nafasi ambayo CEO akivuta anytime yeye ndio ana rungu, na atachagua ampige nani..

Hivi unahisi hilo rungu litatua kwa nani?

Au jamaa hakuwa target wakaona wamshughulikie ashinde umauti?
Hakuwa target, so ilikuwa Kama anaonywa tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Kiranga chote kikamuisha mamaeee
 
Kwa kipande hiki angalau matumain yanaanza kuonekana, ila vipi huyu new CEO hawezi kupandikizwa kunguni na tabasamu Kama alivyofanya kwa Magufuli.

Ila Mimi maombi yangu ni tabasamu apigwe apigwe apigwe mpaka achakae.
Tabasamu he's so so smart nigga , kuuangusha ule mbuyu wakati chain yake imerudi ktk system ni zaidi ya Vita , imagine ukali wa amelala yoooh na ulinzi wake ulivyokuwa then Waka muondoa ndio huyu macho kumchuzi ata muweza, thubutuu [emoji16]
 
Back
Top Bottom