Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

yaani pathetic, ukiyaona yanapokuwa majukwaani au makanisani/misikitini yanaongea mpaka mijasho inawatoka utafikiri ni binadamu kumbe mavi tu.
Sasa una mind Nini !? Wakati ndio mfumo wa siasa ulivyo nigga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Katika siasa Hakuna ubaya Wala uzuri

Uzuri na ubaya wa kitu au Jambo it depends na upande utako kuwa umeegemea,

Siasa Ni zaidi ya laana
 
konda =Branch Manager,
Daftari = Chuo cha diplomasia;
Kabati= lupango;
Mpenda democrasia = Mkwe wa Mzee aliyefiwa na Mkewe na juzi katembelewa huko Arusha na alikuwa waziri wa fedha na gavana
Sema sema = mpuuzi mmoja wa singida na mbinafsi sana, kila siku risasi
Niendelee!!!
U cant that mpuuzi unless u are an idiot enough and blind to see your ego,eny and ignorance

That is a real patriot i ever witnessed in this country.

Others are there just to fill their rotten bells/stomach.
 
Me najiuliza tu,old CEO ana 72 years sasa hivi.nini anatafuta tena kwenye haya maisha hadi aanze kuongoza hayo magenge ya wahalifu?
Sasa na huyo new CEO atadumu kweli kwa style hiyo?
Kwani mzee wa uwazi alikuwa anatafuta Nini !? Wakati umri ulikuwa umekwenda siangekubali tu kumuachia old CEO vile vitalu vya gesi ijapokuwa wali tapeliana , [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Lakini kwa kuwa kinacho zeeka Ni mwili na sio nafsi akakubali kusign contract na oligarchy wa Nigeria chini ya usimamizi wa late CEO ,, kilicho kuja kumkuta Sasa , [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji119] I
 
Unapata picha gani kuwa the old CEO anakula sahani moja na kijana msema sana? Afu huku mitaani watu wanampigania kumbe yeye yala bata? Ukielewa hii simulizi ni upumbavu, hata mimi ningeondoa takataka.
Wewe aliye kuambia umuamini mwanasiasa Nani ,!? Usije thubutuu kufanya huo ujinga , kila victims wa siasa wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi Asilimia 75 , Asilimia 25 kwa taifa
 
Mkuu hata Mr. Late na genge lake + branch manager walikua wanakula sana sio kwamba wao walikua watakatifu. Shida yao ni kwamba kula tu waliona haitoshi wakaingilia na kuleta athari kwenye maisha ya watu wengine wasio na hatia.

Bora hata mazingira ya Mzee Sema sana hayadhuru watu back hata kama yanadhuru sio direct moja kwa moja kama ilivyokua kwa Mr. Late

Kampuni ilikua inaenda kibabe sana huku ndugu na CEO wakiongoza kampuni wanavyotaka na kujisikia kana kwamba wanawatawala wake zao (Rejea kwa branch manager alivyokua ana treat watu vibaya, rejea vifo vya kina watch8 na n.k)

Binafsi naona ni bora hata amani ya ku fake kuliko wakati ule
Naam ule utawala kwa upande wangu haukuwa utawala Bora kabisaaa ulijaa maumivu mnooo kwa watanzania Visasi vya wazi wazi na kupotezana haikuwa sawa
 
Time came, new CEO akapokea ugeni wake kutoka DOHA, ndani ya ile presidetial suite kuna room nyingine ndogo, so kijana na CEO wakapata time ya kupeana updates!

Kijana alitumia miezi zaid ya mitatu kuandaa taarifa yake!! So akaanza kumbrief CEO akamwambia huyu mtu ni god father wa kampuni! Na hayuko peke yake!! external companies zote zilizo invest kwenye kampuni yetu niether ni za kwake au zinazomwamini sana mr born town!

kuanzia kwenye kampuni zetu zote ndogo ndogo zinazohusika na utalii, umeme, mafuta na ujenzi hawa watu ni share olders! Hakuna sehemu hawapo!! Branches manager wetu wote uliowarudisha kazini asilimia 70 ni watu wake!! Hivyo tumezingirwa na watchdogs wa mr born town hakuna kitu utafanya au kutena bila yeye au group lake lisijue!

Huyu mtu nguvu kubwa anaipata kwa investors wetu wa nje!! ni anaaminika sana!! Project yetu ya kampuni kuhusu ile bandari iliyokuwa crashed na the late CEO ambayo tunairudhisha ukweli nikwamba owners wa hiyo project ni most powerfull people in this world, na kuna mazingira ya mr born town kuwa among wanufaika

Akamwambia kuna mambo wanayoyafanya sasa hivi kurudisha gharama na hasara waliyopata kutokana na uongozi wa the late CEO!! unaona kampuni yetu ya umeme, sasa hivi tunauza sana jenerta badala ya solar sytems!! lakini pia kule kwenye vitalu vya uwindaji yule investor aliyetimuliwa na the late CEO, branch manager amesha ridhia arudi na awekeze! So juhudi za kuweka mazingira ya uwekezaji zinaendelea

Kijana akasisitiza hakuna mahala utagusa he is not there!! All Head of our security ni too loyal kwake, ispokuwa mmoja tu! Huyu analysis inaonyesha bado anamkubali sana late CEO!

Kampuni pinzani zoote unazoziona hapa nchini their Chairmans are his people! huyu tuliyekuwa na kesi naye juzi! Ambaye externa investors wametishia kustop investemnts kwenye kampuni yetu kama kampuni haita drop kesi, analysisi bado inafanyika kujiridhisha kama ni mtu wake au lah!!

Lengo la the late CEO kumshughulikia huyu mr new culture lilikuwa ni kuivunja kabisa kampuni yake baada ya kugundua kuwa ni hawa hawa investors wanaomsponser huyu mr born town ndio wanaomsponsa na yeye! Sasa why wanawasponser two people with different idiologis hapo ndio task force imejikita na soon tutapata majibu



Huyu mtu mr born town wealth yake ni more than 100 years! Most of his dirty money are kept in malaysia! so kupambana naye inabidi kuwa makini na smart sana!!

Akasema kuna kundi ambalo halimtaki tena mr born town kuwa kama kiongozi wao, wanataka changes na kinachoononekana hawa watu wamejipanga sana! Wako kwenye harakati za kumuweka mtu wao!! shida hili kundi ni la watu wa ndani tu sio wa nje! Nje bado anasupport kubwa sana!!


CEO alikuwa makini sana akimsikiliza kijana wake!! Hakushtuka sana sababu baadhi ya vitu anavijua sema hakuvijua indetail kama ambavyo kijana amemfafanulia!!

So CEO baada ya briefing iile akamwambia kijana kuwa her chances are very low to survive this guy!! Kulingana na alivyo jisimika! So options zake nizipi??

Kijana baada yakuulizwa hivyo akasema option zipo but ni very risk!! We have planned a mission, but what we have to do nikuwatembelea hawa external investors unnoticed, if they are getting a proffit of 20% in their investment in our company sisi tu waongezee up to 60% or more with a condition that mmoja mmoja wasaide wewe uwe chairman mpya!! Kwamba we need to atract them to be in our side!!

Lakini pia kuwahakikishia hakuna kuvunja au kukataa mradi wao wowote!! We offer them good interest they give us power!! Maana wako after money and not some one! Istoshe wewe ndio CEO sasa hivi!

Pili kwakuwa kila dipartment ina branch manager ambao ni too loyal kwa mr born town, hao hakuna kuwagusa all we need to do nikuwaacha tu, let them be free as long as we know them! hawa watu wananjaaa sana, tuwaache Wale kwa urefu wa kamba zao[emoji1787] na wakati huo moja baada ya mwingine tuwa convert secretly wawe upande wetu, wabishi tuta apply other ways [emoji1787][emoji1787]

And this is why na introduce kwako hii kitu inaitwa " checks and balances mission"

kijana akachukua red printed document akampatia akamwambia hii ina kila kitu! Take this with you! Read it carefull then TUPE GO aheard kila kitu kitakuwa Sawa!!

Baada ya ile meeting CEO alichukua ile document na kuitunza mwenyewe! Kisha wakaagana, akatoka kwenye kile chumba wakapiga picha na yule mwarabu from doha ionekane yeye ndie alikuwa anazungumza nae na sio yule kijana then CEO akaendelea na ratiba zake!!

Sasa what is "cheks and balance mission" hii ni mission planned na kijana wa the new CEO akiwa na wenzake watano!! Project hii ilikuwa na level tatu! Target wa mission ni mr born town! Lengo ni awe termineted airther friendly or hard way!!

Project hii imekuwa categorised kwa level tatu!

Level one ni Kuua makundi yoote na kuorganise kundi moja kubwa lenye nguvu nyuma ya new CEO. Ili ikamilike Level hii iliwekwa katika stage tatu!

Moja ni kuwashusha temper na hasira team late CEO, wanashushwaje temper na hasira??? nikuhakikisha miradi yoote ya the late CEO ndani ya kampuni ina kuwa implemented kama ilivyoanzishwa na the late CEO, hii itasaidia kuwarudisha kundini wawe na the new CEO karibu! [emoji41]

Lakini pia ni kuwaidentify wale wabishi wenye misimamo sanaaaaa kuwashughulikia nicely na sio in a harsh way, ila ikibid harsh way itumike!

Pili, miradi hiyo yote ya the late CEO waitwe wale outsider investors ambao ndio humpa kiburi mr born town waje wawe involved especially kwenye kuiendesha hiyo miradi itakapo kamilika With a very good interest kwao! Ilengo na wao wawe karib na huyu the new CEO

tatu,kuhakikisha wale resistant yaani lile kundi lisilo mkubali mr born town lipewe freedom na ulaji wa hali ya juu kwa kuinvesting in the company!!

Second level!

Hii ina stage mbili tu, Stage one is to ensure good publicity kwa new CEO, apendwe sana, yaani saaana! kwa kuhakikisha customers wa kampuni wanamkubali sana CEO!

Stage ya pili itawahusu all security agencies,hapa kijana aliwaza kutindua wote wenye mrengo hasi na CEO unoticed

Level ya tatu
Hii ndio yenyewe! Kama level one, two na three zikifanikiwa mr born town hana chake iwe nje na ndani so ni kumgoa kucha tu!

Wakati haya yakiendelea, mr born town homa ya jiji, nayeye alikuwa na yakwake kichwani!

Moja ya vitu alivyoviamini kutokana na uzoefu wake kwenye game ni kuwa ukiona mtu anafuata sana kila unalomwelekezatena bila kukosea ujue kunajambo analifanya na anajaribu kukuficha [emoji23][emoji23]

Baada ya tafakuri kwa kina Alichokifanya ni akampigia simu kijana wake mmoja, akamwambia huyu CEO nahisi kunakitu behind the scene kinaendelea! She is too good, yaani kila nnalotaka anafanya nothing is wrong! This isnt right!!

I have something in my mind nafikiri nikifanya itanipa jibu!! Nafkiri sasa Tutamuhitaji zadi mwenyekiti wa bodi!! Huyu ndio atakuwa karata yetu kujua what is goin on! Lakini pia akawaalet vijana wake pale makao makuu, kwamba heads up!! Wafuatilie whats goin he need updates!!

Kijana akamtafuta mwenyekiti wa bodi! Ikumbukwe mwenyekiti wa bodi alikuwa team late CEO, yeye ndio alimnyima kibali cha kutoka nje kijana msema sana baada ya kudugwa mirisasi, lakini pia, hata fidia yake alimnyima kabisaaa. kijana alipata majeraha kazini alistahili kulipwa!!

Kijana akaworganise timu yake wakamfuata Mwenyekiti wa bodi privetly, direct wakamwabia anachopaswa kufanya unless otherwise something worse would happen to him!

Chearman wa bodi kulingana na alivyotikiswa na wale vijana he had no choice but to implement the plan!! Akaanza kumpinga live CEO hadharani! one day akiwa kaalikwa kuwahutubia vinana wajasiliamali katika aliyo yaongea akatamka wazi kkuwa CEO anaendesha kampuni yao kwa sasa anaiendesha kwa kuchukua loans sana! Akasema kampuni yao itaweza kufilisika soon kama hatua zisipochukua haraka! Ikiwezekana atolewe!!

Hiyo kauli ya atolewe ndio ilimtoa CEO Mafichoni tena kwa hasira juu!! Hisia zilimwendesha badala ya critical analysisi ya kujiuliza kwanini huyu mtu ametamka haya sasa, na si hulo nyuma? Hiz guts na confidence za kusema haya amezitoa wapi?? badala yake CEO Alimnaga live chearman wa bodi na kudecler live kuwa yeye bado yupo yupo sana kwenye position hiyo!! Na akamtaka yeye mwenyekiti ndio atoke kwenye position hiyo!! Kimwonekano wake alimaanisha alichokuwa nakisema. Kumbe bwana, our CEO felt in Mr born town trap! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] A Very Big mistake[emoji1787][emoji1787]

Unaruhusuje hisia kwenye jambo sereous hivi.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]

mr born town baada ya hiyo reaction ya CEO akawa amejithibitishia kuwa CEO wa sasa atakuwa na kitu behind the scene anakifanya ili aweze kubaki madarakani!! Na hicho kitu kama hajashilikishwa so she is betraying him!!! Mr born town was very maaaaaaaaad askwambie mtu!!! Very Maaaad!!

Je kete za mr born town zitaanzia wapi ili kuila kingi kwenye draft?...........

Is the CEO able to bring late CEO team under her wing??

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mambo ni mengi muda ni mchache!!!
Kwa kweli Mambo Ni mengi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]

Imebidi niagize popcorn kabisa [emoji16]
 
Daah!! Born town anaenda kumlambisha mchanga maushungi. Assistant New CEO anakuja kulipa kisasi kwa Mr.Born town.

Ila tawi la vidole viwili juu ni wahuni sana, wanatuigizia sana kumbe mishe zao na mboga mboga ni moja.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Revenge ya Borntown ni mbaya sana, agwe chairman wa body alikuwa na % bandarini kikamuuma Cha Doha kumbe akaingizwa mtegoni hakujua km ni chambo, sasa yupo kitandani haijulikani ni nini
Nakumbuka kisa Cha mwanamuziki navwanawe walilimwa maisha kifungoni, the late akawatoa siku ya 9/12 pale hasira zilimuwaka akichanganya na Mama kuwekwa ndani mjengoni mpaka kiongozi wa dini kutumwa
Kweli jamaa ukigusa mchongo wake hakubali
Bila shaka jamaa.walikuwa haziivi ilikuwa ni piga ni kupige .

Waliishi kinafiki

"Maisha hayaendi bila unafiki"
 
Simple tu Kama hakuwa target unaitwa unaambiwa stay away from our mission unapewa antibiotics unapona Kisha una kuwa appointed na cheo kikubwa maisha yanaendelea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naomba kuuliza,hizo Antibiotics hao victims(target) hawazijui ili na wao wajinusuru?
 
Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.

Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
Waandikiwa tumekubaliana na kila kitu.
 
CEO wao wote ni huyo hapo, hao wengine wote watumikaji tu, timu nzima mpya ilienda kujitambulisha kwake, haijawahi kutokea kuanzia kuanzishwa kwa Republic yetu.

1BE6CA90-B571-474F-A878-E5773DABF219.jpg
Acha ushamba
 
Daah!! Born town anaenda kumlambisha mchanga maushungi. Assistant New CEO anakuja kulipa kisasi kwa Mr.Born town.

Ila tawi la vidole viwili juu ni wahuni sana, wanatuigizia sana kumbe mishe zao na mboga mboga ni moja.
tawi la vidole viwili kwa walichokifanya ni sahihi kwa wakati huo

Kama kulikuwa na namna yoyote ile ya kumuangusha late CEO ilikuwa ni halali maana aliwafanyia maovu mengi mno

Njia yoyote ile ya kumuondoa kwangu naona ilikuwa halali
 
Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.

Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
"Kichani" ndio nini? huko shule ulienda kusomea ujinga eee
 
Back
Top Bottom