Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Daah!! Born town anaenda kumlambisha mchanga maushungi. Assistant New CEO anakuja kulipa kisasi kwa Mr.Born town.

Ila tawi la vidole viwili juu ni wahuni sana, wanatuigizia sana kumbe mishe zao na mboga mboga ni moja.
tawi la vidole viwili kwa walichokifanya ni sahihi kwa wakati huo

Kama kulikuwa na namna yoyote ile ya kumuangusha late CEO ilikuwa ni halali maana aliwafanyia maovu mengi mno

Njia yoyote ile ya kumuondoa kwangu naona ilikuwa halali
 
Mtoa mada kuna ishu niliisikia kuwa the late CEO mazishi yake yalikuwa na utata kidogo

Kwamba pale walipomaliza kuaga kabla jeneza lake halijashushwa kaburini alivishwa ngozi ya mnyama na inasemekana alizikwa na mkuki ndani ya jeneza lake

Kimila ikiwa na maana kwamba kama alifariki unnatural death yaani aliuwawa na watu basi kiroho huo mkuki utakuwa kama ishara ya revenge kwa wote waliohusika kumuua lazima yatawarudia kwa namna moja ama nyingine

Na ndiyo maana tukio la jeneza lake kushushwa kwenye kaburi halikuoneshwa live camera zikawa zinawaonesha tu waombolezaji

Je ni kweli hilo mtoa mada
hapa mwenyewe nilibaki na maswali mengi
 
Mbona badoo

Ukweli utakuja kujitenga na uwongo tuu..

R.I.P Dady hii Dunia haina mwenyewee wote watakufa na kuoza na kunuka kama mizoga ya Mbugani.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Nadhani baba yako hakujua kuwa DUNIAN tunapita na ndiyo maana alinidhulumu Haki zangu Kama mtumishi wa umma😔😔
 
Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.

Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
Kama unashindwa kung'amua vitu vidogo kama hivi bila shaka utakuwa ukienda shule kubalehe
 
Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.

Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
Kumbe upo!!
 
Naomba kuuliza,hizo Antibiotics hao victims(target) hawazijui ili na wao wajinusuru?
Sasa simpaka wajue walicho fanyiwa !? Siumesoma mtiriliko wa story nzima hapo story inasema kwamba hata daktari wa late CEO alikuwa ni undercover, so it means alikuwa anajua kinacho mmaliza mkuu lakini hakumtibu kwakuwa alikuwa katika mission ,so late CEO angejuaje kuwa. Anapaswa kutumia antibiotics wakati daktari wake alimficha kuwa alikuwa poisoned
 
Back
Top Bottom