Dark days 17/03/20...

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pole aisee ulipitwa, ipangie muda uisome yote hutojutia muda wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] msala sana! Ila riwaya ya moto kila uki zoom unawaona hawa apa! Watu wanatafutana sana! Ila mtoto wa mjini hawamuwezi! Nashangaa hata escort yake si yakawaida kumbe nae ndio yarabi roho yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm huwa nashangaaga sana unaweza kuta tumezuiliwa mda mrefu saaana barabarani hasa huku nje ya mji kama unaenda moro, mnakaaaaweee mpaka mnachoka kumbe anakuja kupita mstaafu! Hua najiuliza maswali mengi kumbeeee!
 

[emoji28][emoji28] yarabi roho yangu.

Yaani ni mtafutano kweli kweli. Ukishangaa kidogo tu, umeisha.
 
Ni noma mzee. Endelea kupata madini mkuu uuburudishe ubongo wako [emoji846][emoji846]
 
Hope episodes zijazo zitakuwa makubaliana ya SSH vs Vyama vya siasa, pia mvutano kati ya current CEO vs BT utakuwa mkali zaidi.
 
Geologists wanasema huko ni belt of earthquakes.Huwezi zuia tetemeko lisitokee bali unaweza kupunguza ile impact ya tetemeko la ardhi.
 
Nchi inaombewa sana pamoja na viongozi wake
 
Nchi inaombewa sana pamoja na viongozi wake
Iombewe sana maana hasira ya Mungu ii juu ya nchi.Mungu aweza kughairi kile alichokipanga juu ya nchi iwapo tutaomba na kutubu kwa ajili ya nchi yetu.

Dhahabu haiwi dhahabu mpaka ipitishwe kwenye moto. Tanzania inabidi iombe ili lile kusudio la Mungu la kuifungua kiuchumi na kuachilia baraka zake kwa nchi litimizwe kikamilifu.

Bila kuacha maasi na dhambi hizi baraka tutazisikilizia kwa wengine na kichapo tutakipata tutake tusitake.
 
Kuna story ukizisoma zinatisha aise mfano ni hili andiko lako
Mtuache tule ugali na kisamvu tulale

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Kha! Hamna wa kumuamini kabisa! Ikiwezekana hata wewe mwenyewe usijiamini[emoji3166]
 
Ndugu yoga katika hizo Secret and untraceable Meeting in secret room wewe hua upo wapi lakini. Kwa sterling upo na kwa jambazi mkuu upo.

Sikuwahi kujua kama kuna wanadamu wanasifa ya Omnipresent kama Oxygen
View attachment 2211591
Huyu kafunika! Au ndio yule unknown!!!? Ngoja niendelee ila nahisi kwenye hii story nae ni character wa ndaaaaaani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…