Andumbilile
Member
- Oct 20, 2021
- 50
- 67
Bas Yoga kama mjinga mm nitakua mjinga Zaid yake maana namkubali Sana kulko we na akili zako mgandoSis ni wajinga wenzake na tunakubaliana nae. Wewe mwerevu pita kule, achana na sisi.
Unanionea mkuu. Nilikuwa namjibu mtu mmoja aliyesema tunampaisha yoga wakati hana chochote zaidi ya ujinga. Nikamwambia sisi tunaukubali ujinga wake. Yeye mwerevu apite kule.Bas Yoga kama mjinga mm nitakua mjinga Zaid yake maana namkubali Sana kulko we na akili zako mgando
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewe andika uzi wako bhanaYoga, there is a document link wanna share with you ; Very crucial and it has a lot of information, please unlock the PM and Accept my request.
Much appreciated brother ! Tunajua JPM alidhulumiwa madhuluma and it is time now to spill out the beans.
Tushirikiane
Itakuwa aliugusa mfereji wako wa ridhiki.chuki yako ni nzito sana na Shukrani Kwa mazuri si sehemu yako.Hakuna balance yoyote kwa mwenda...ke maovu yalimlemea pesa ya kampuni alijigawia bila vikao, watu walifukuzwa bila malipo eti vyeti feki wakati yy alihojiwa akamuua ben8
Kila siku kutumbua hakujua Kuna familia wanaumia
Bei yy ndiye alidanganya eti umeme 27,000, hata kwa kwa k game na M7 sio hivyo naona muhamie huko mnaoumia
bora wajanja walimuwahisha na wengine tutafuata lkn angalau amani ipo Sasa hata humu JF
Sorry Sana mkuu ,na mm nlkua namjibu huyo huyo jamaaa ,mistake ilifanyikaUnanionea mkuu. Nilikuwa namjibu mtu mmoja aliyesema tunampaisha yoga wakati hana chochote zaidi ya ujinga. Nikamwambia sisi tunaukubali ujinga wake. Yeye mwerevu apite kule.
Pamoja ndungu yangu.Sorry Sana mkuu ,na mm nlkua namjibu huyo huyo jamaaa ,mistake ilifanyika
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Makafara ya watu wasio na hatia? How?Maeneo yanayotajwa ndo Pana Malango ya kuzimu, so kipigo hakiepukiki.
Nilikwambia habari ya Mungu kuja kukikalia KITI hapa NYIKANI ukauliza ni lini,
Muda ndo huu, yaani kuanzia mwaka huu 2023 na kuendelea ni bandika bandua.
Turudi msalabani, TUOMBE TOBA na REHEMA Ili Mungu atuponye sisi na family zetu, bt kipigo Kwa waovu Kiko pale pale.
Ili Mungu akae kitini vizuri,lazima awasafishe waovu, hawezi tawala na waovu, Mungu ni mtakatifu.
Maombi ya watakatifu ndo yanasaidia Hali tuliyonayo, tofauti na hapo,
Malaika akiliachilia JIWE aliloshikilia juu ya Bahari, Dar yote Hadi bagamoyo itamezwa na Bahari, maana hapo ferr na b.moyo ndipo yalipo malango ya kuzimu na makafara ya watu wasio na HATIA hufanyika.
Twende KAZI samurai!!taking over, days in dark, dip dark dip dip state......................
Huyo baba aliyerudi anayepiga kasia mbali gizani ni BT au yule mwenye msalaba mkubwa pale vaticanino au Odii?Vibwengo wametulia, Kasia linapigwa gizani, Vibwengo hawaelewi wanaona maruweruwe tu.
hahahahaha, Baba karudi sasa, yule kulee mbali gizani anapiga kasia kwenye uelekeo wake.
Hela tamu bwana, My friend Ghadafi was slaughtered at Sirte, Nimemuandikia Nicholous huyu huyu Sakhosy wa French Africa alipe lile deni letu ambalo kaka yake Chirac analijua.
Africa hatuleti tena vifaru, tunatupa tu ndoano na chambo.
Unaamini maridhiano yatasababisha Bahari kutulia?bahari imetulia hakuna mawimbi tena, hahahaaha kila mkubwa ana mkubwa.
dip in dark, there is big brains (not these one), the project is smoothing and soon the ship will anchor.
Anchoring in someone dock and re-register in his flag with full control remotely operated bridge.
Steam za bhangi hii ninayovuta kutoka Ecuador ni kali sana.
Na mimi naongezea; Ukitaka watoto wako wasikusikilize na kukufuata mema unayowafundisha,waogeshe,wavike na uwalishe batili.Tafuta uzi mmoja wa Mshana anazungumzia kuhusu mbengu inayotungwa kipindi mama anapata ujauzito, ameelezea jinsi shetani anavyoiwahi na kupandikiza roho yake na mtoto akizaliwa anakuwa na tabia za ajabu ajabu.
Ni vizuri wana ndoa kabla ya kupata mtoto wawe makini katika kuomba na kutakasika ili shetani asipate nafasi ya kuvuruga kizazi.
Chunguza familia nyingi kuna baadhi ya mtoto/watoto wanatofautiana sana tabia na matendo mpaka wanafikia kujiuliza hivi huyu ni ndugu yetu/zetu kweli?
Yaani kama ni mwizi, ni mwizi kweli kweli, mgomvi, roho mbaya, tabia chafu, jambazi sugu, mwingine ana nguvu za ajabu akianza kupigana kuanzia asubuhi hadi jioni..n.k
Kwahiyo kuna uhusiano na alichokisema mdau japo kuna ambao ni malaika wanashuka kweli katika umbo la kibinadamu na wengine wanazaliwa kawaida, wanaweza kuwa hawajui wanapokuwa wadogo lakini wakishafikia umri/muda wa kuanza kazi ndipo ujulishwa mission yao na wao ni akina nani.
Mambo ni mengi.
He is going to fall.Vibwengo wametulia, Kasia linapigwa gizani, Vibwengo hawaelewi wanaona maruweruwe tu.
hahahahaha, Baba karudi sasa, yule kulee mbali gizani anapiga kasia kwenye uelekeo wake.
Hela tamu bwana, My friend Ghadafi was slaughtered at Sirte, Nimemuandikia Nicholous huyu huyu Sakhosy wa French Africa alipe lile deni letu ambalo kaka yake Chirac analijua.
Africa hatuleti tena vifaru, tunatupa tu ndoano na chambo.