Dark days 17/03/20...

Narudia tena,

Utabiri wa yatakayojiri 2023 ulitoa timeframe ya kuanzia 20 Oct Hadi 20 March 2023,

Yoga akaahidi kuendeleza simulizi 20 March 2023,

Kinyaa, Kwa Madiba, Nigerriae, Morroco pia wanafanya demonstration on 20 March.

Je ni coincidence?
Nilifikiri ni utabiri wa Tanzania peke yake, kumbe wa dunia zima ?
 
Hiki kipande lipo kwa wapi mkuu
 
Hii ni thread ya mtu mmoja anaitwa Fortunatus Buyobe huko twitter. Stop plagiarism
 
Hii ni thread ya mtu mmoja anaitwa Fortunatus Buyobe huko twitter. Stop plagiarism
Hebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.

Anyway unaonekana bado mgeni hapa,ukiwa mwenyeji utajua kuwa Buyobe huwa anabeba thread za hapa anawaleteeni huko Twitter.Siku tatu zilizopita kabeba thread ya Mshana Jr ya Marehemu Martha kawaleteeni huko pia [emoji3]
 
Mimi alinitext inbox akitaka nilipie nikaona ni upuuzi. Yeye pumzi na uhai alionao analipia? Mtu hawezi kufanya jambo hata moja kwa jamii yake kama Max mello ama Nyerere mpaka pesa?

Mbaya zaidi anacopy na ku -paste.

Sawa Apambane.
 
Mpumbavu wahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…