Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Hii BT ni code gani , mara ya pili nakutana nayo kwa leo!Huyo baba aliyerudi anayepiga kasia mbali gizani ni BT au yule mwenye msalaba mkubwa pale vaticanino au Odii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii BT ni code gani , mara ya pili nakutana nayo kwa leo!Huyo baba aliyerudi anayepiga kasia mbali gizani ni BT au yule mwenye msalaba mkubwa pale vaticanino au Odii?
Born townHii BT ni code gani , mara ya pili nakutana nayo kwa leo!
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ni Bluetooth, wireless connection mkuuHii BT ni code gani , mara ya pili nakutana nayo kwa leo!
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nilifikiri ni utabiri wa Tanzania peke yake, kumbe wa dunia zima ?Narudia tena,
Utabiri wa yatakayojiri 2023 ulitoa timeframe ya kuanzia 20 Oct Hadi 20 March 2023,
Yoga akaahidi kuendeleza simulizi 20 March 2023,
Kinyaa, Kwa Madiba, Nigerriae, Morroco pia wanafanya demonstration on 20 March.
Je ni coincidence?
Hiki kipande lipo kwa wapi mkuuAnaumia kuona mwisho wao unakaribia ingawa Anajiona kama shujaa ajaye ila hatokuwa na jina kama wengine, machozi yana mtoka akiwa ka kaaa kwenye kiti akiitazama picha ya founder wa kampuni!!
Then sms inaingia kwenye simu yake!!
"Its either you or me this time"
Mzee anaisoma anasmile kisha ana reply!!
RIP in advance son!! Till we meet again!
[emoji115][emoji115]Script ya kibabe sana[emoji16][emoji16]
hahahahaItakuwa aliugusa mfereji wako wa ridhiki.chuki yako ni nzito sana na Shukrani Kwa mazuri si sehemu yako.
Narudi offline nikiguswa na comment nitarudi online
Inakuja, subiri 20 Machi 2023Hiki kipande lipo kwa wapi mkuu
Nini tenaaKimeumana hukoo[emoji24][emoji24][emoji24]
Hii ni thread ya mtu mmoja anaitwa Fortunatus Buyobe huko twitter. Stop plagiarismKabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Hii kabla ya fortunatus kuipeleka twitter na telegram....hii ilitanguliaHii ni thread ya mtu mmoja anaitwa Fortunatus Buyobe huko twitter. Stop plagiarism
I like your sense of humor.Sis ni wajinga wenzake na tunakubaliana nae. Wewe mwerevu pita kule, achana na sisi.
Hebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.Hii ni thread ya mtu mmoja anaitwa Fortunatus Buyobe huko twitter. Stop plagiarism
Msamehe bure,bado mgeni hapaHii kabla ya fortunatus kuipeleka twitter na telegram....hii ilitangulia
Asife yeye nani? Atakufa tu.Watu wazuri hawafi
Mimi alinitext inbox akitaka nilipie nikaona ni upuuzi. Yeye pumzi na uhai alionao analipia? Mtu hawezi kufanya jambo hata moja kwa jamii yake kama Max mello ama Nyerere mpaka pesa?Hebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.
Anyway unaonekana bado mgeni hapa,ukiwa mwenyeji utajua kuwa Buyobe huwa anabeba thread za hapa anawaleteeni huko Twitter.Siku tatu zilizopita kabeba thread ya Mshana Jr ya Marehemu Martha kawaleteeni huko pia [emoji3]
Mpumbavu waheadBanafsi hii thread ningeomba mods waifute. Sababu kubwa ipo.
Watu wengi hawajui kanuni kuwa 'walioshindwa njia panda ukijifanya upande wao utawapeleka pande unayoitaka'.
Mkumbuke Tz hii kabla jina lako halijaingizwa kwenye kinya'nganyiro Cha urais huwa linapitiwa na watu gani kwanza.
MAGUFULI4LIFE.
Aamen Aamen, we are celebrating 😄Happy independence day....from Cuba
Umejiunga Jf 2023?? Sijui kwa nn watu wenye ID mpya huwa hamnaga AKILI.Hii ni thread ya mtu mmoja anaitwa Fortunatus Buyobe huko twitter. Stop plagiarism