Dark days 17/03/20...

yoga unajua mm ni mtu wako wa karibu Sana hujawai niangusha kavisa why 20/03 au Ni ziara yako imekukinga Sana
 
Lakini Yoga si alisema ni leo?Tarehe 21 haijaisha tuwe wavumilivu wapendwa [emoji1787]
 
"Tunaogopa kifo Kwa sababu tunakaa ktk Hali ya dhambi' Umenena vyema.

Bt WATAKATIFU maisha yetu duniani yatakoma pale tu mission ilotuleta duniani itakapotimia na Si vyinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…