Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa ulishiriki mazishi. Tupe japo picha yake iliyooneshwa wakati wa mazishi.Kuna majitu hayana akili ko bado mnamsubiri huyo mkoswa akili mwenzenu wakati tayar ni Marehemu jana kazikwa pale Sinza makaburini
Leo siku nzima nimeweka data on na notifikesheni juu lakin sijaona kitu,acha nam nipumzike tusubiri kama yajayo yapoNakwenda kulala..
Kesho Asubuhi nawasha data Uongo au ukweli wa Yoga nitaujua nikiamka.
Aliahidi nini? Maana mm huwa nikiona sijasoma page nyingi huwa naruka baadhi ya page, aliahidi nini? Mm nilipoona amefika pale MAMA SAMIA YUKO DUBAI na YEYE akajua yote waliyozungumza kati ya MAMA SAMIA na MSAIDIZI wake na pia AKAYAJUA WALIYOZUNGUMZA UPANDE WA OLD CEO nikaona huu sasa ni UZWAZWA.Binafsi nilikua naisubiria hii siku kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu, tokea jana na leo natembea na chaji ili kwa bahati mbaya simu isiishie chaji, nimeseti notification kwa muda wa wiki mbili, kwa sasa hivi ni saa tano, bado saa moja siku iishe, ngojea tuone.
[emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi nilikua naisubiria hii siku kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu, tokea jana na leo natembea na chaji ili kwa bahati mbaya simu isiishie chaji, nimeseti notification kwa muda wa wiki mbili, kwa sasa hivi ni saa tano, bado saa moja siku iishe, ngojea tuone.
Huyu yoga ni mchoyo haya kwenye mapenzi ndio yupo hivyo [emoji23][emoji23] ukipata Leo mpaka miaka mitano ijayo [emoji23][emoji23] mvumilieni, akijisikia atawapaIla wewe yoga umetucheza akili sana.mi nshachoka siku nzima nachokonoa tu hamna kitu mpaka saa tano hii.kwendraaaaaaaaaaaa