Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kuna majitu hayana akili ko bado mnamsubiri huyo mkoswa akili mwenzenu wakati tayar ni Marehemu jana kazikwa pale Sinza makaburini
 
Kuna majitu hayana akili ko bado mnamsubiri huyo mkoswa akili mwenzenu wakati tayar ni Marehemu jana kazikwa pale Sinza makaburini
Utakuwa ulishiriki mazishi. Tupe japo picha yake iliyooneshwa wakati wa mazishi.
 
Nakwenda kulala..
Kesho Asubuhi nawasha data Uongo au ukweli wa Yoga nitaujua nikiamka.
Leo siku nzima nimeweka data on na notifikesheni juu lakin sijaona kitu,acha nam nipumzike tusubiri kama yajayo yapo
 
Binafsi nilikua naisubiria hii siku kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu, tokea jana na leo natembea na chaji ili kwa bahati mbaya simu isiishie chaji, nimeseti notification kwa muda wa wiki mbili, kwa sasa hivi ni saa tano, bado saa moja siku iishe, ngojea tuone.
 
Kimya kingi kina mshindo mkuu!
Mvumilivu hula mbivu!
Subira yavuta heri!
I'm still waiting for you my dear yoga
 
Binafsi nilikua naisubiria hii siku kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu, tokea jana na leo natembea na chaji ili kwa bahati mbaya simu isiishie chaji, nimeseti notification kwa muda wa wiki mbili, kwa sasa hivi ni saa tano, bado saa moja siku iishe, ngojea tuone.
Aliahidi nini? Maana mm huwa nikiona sijasoma page nyingi huwa naruka baadhi ya page, aliahidi nini? Mm nilipoona amefika pale MAMA SAMIA YUKO DUBAI na YEYE akajua yote waliyozungumza kati ya MAMA SAMIA na MSAIDIZI wake na pia AKAYAJUA WALIYOZUNGUMZA UPANDE WA OLD CEO nikaona huu sasa ni UZWAZWA.
 
Ila wewe yoga umetucheza akili sana.mi nshachoka siku nzima nachokonoa tu hamna kitu mpaka saa tano hii.kwendraaaaaaaaaaaa
Huyu yoga ni mchoyo haya kwenye mapenzi ndio yupo hivyo [emoji23][emoji23] ukipata Leo mpaka miaka mitano ijayo [emoji23][emoji23] mvumilieni, akijisikia atawapa
 
Yoga hawezi leta story Hadi baadhi ya mambo ya we wazi kwa public!ni vile Bado hayajatangazwa ki protokali!

Pia anaweza Tumia I'd NYINGINE coz moderator wanaweza piga chini Uzi wake!

Tu traceback I'd NYINGINE ya yoga aliwahi itumia humu nimeisahau ina anza na herufi sh kama sikosei!!!
 
Back
Top Bottom