Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Tunaweza kumlaumu au kusema lolote kwake ila hadithi yake hii ni best kuliko zote zilizowahi kuletwa hapa Jf, apewe tu pongezi .
 
Ipi ndugu yangu zaidi ya hii.
 
Ngoja nikiwa na utulivu niipitie ndugu yangu, lakini yote ya yote imani yangu hii ya yoga ipo juu zaidi kwa sababu ukiamua uilete kwenye uhalisia inakuja ,ukiamua uilete kwenye tungo isio na uhalisia inakuja pia.
 
Kauli ya Madam Pesidaa kuwa huwa anasoma "sentiments" za wadau humu jukwaani ndiyo yenye kutatiza. Huku Yoga kule Madam, ilaaaaa .....!?
 
Kauli ya Madam Pesidaa kuwa huwa anasoma "sentiments" za wadau humu jukwaani ndiyo yenye kutatiza. Huku Yoga kule Madam, ilaaaaa .....!?
Na leo maadam naye anamsubiri yoga kwa hamu kubwa
 
Back
Top Bottom