Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Ujinga wa yogaa
Kuwa mvumilivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wa yogaa
Yoga kama YogaKesho (20/03/2023) mida kama hii (21:51) watu humu watakua wanatupa lawama kwa yoga.
Wengine watakomenti "Nimenunua bando afu sijakuta chochote".
Tafuteni machimbo mapya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi bado upo? Yoga ameshaachana nao kitambo sana. Hebu tafuteni ishu zakufanya
Gereza la Hazwa njooni huku hamta jutaTafuteni machimbo mapya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapenda stories za kijajusi achaneni na Yoga wa michongo huyo[emoji1787] FABIAN babuyaGereza la Hazwa njooni huku hamta juta
Jaribu kusoma hiyo mkuu utaniambiaTunaweza kumlaumu au kusema lolote kwake ila hadithi yake hii ni best kuliko zote zilizowahi kuletwa hapa Jf, apewe tu pongezi .
Ipi ndugu yangu zaidi ya hii.Jaribu kusoma hiyo mkuu utaniambia
Ipi ndugu yangu zaidi ya hii.
Yoga anaibuka saa sita usikuKuwa mvumilivu.
Ngoja nikiwa na utulivu niipitie ndugu yangu, lakini yote ya yote imani yangu hii ya yoga ipo juu zaidi kwa sababu ukiamua uilete kwenye uhalisia inakuja ,ukiamua uilete kwenye tungo isio na uhalisia inakuja pia.Gereza la Hazwa
NOTE HADITHI ZANGU ZOTE NI ZA KUBUNI TU HAZIHUSIANI NA MTU YEYOTE, TAASISI YOYOTE WALA MAMLAKA YOYOTE ILE WALA HAZILENGI KUMCHAFUA MTU, TAASISI AU MAMLAKA YOYOTE. HADITHI: GEREZA LA HAZWA UTANGULIZI.................... Mvua ilikuwa ni Kali sana majira haya ya usiku ikiambatana na upepo mkali...www.jamiiforums.com
Na leo maadam naye anamsubiri yoga kwa hamu kubwaKauli ya Madam Pesidaa kuwa huwa anasoma "sentiments" za wadau humu jukwaani ndiyo yenye kutatiza. Huku Yoga kule Madam, ilaaaaa .....!?
Hapo sasaNa leo maadam naye anamsubiri yoga kwa hamu kubwa