Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Leo ndo leo bhana ngoja tukope bando na popcorn
 
Yoga kafubga pm yake, hataki mawasiliano na wateja wake.

Yoga tuambie, au umebadilisha tarehe kuwa ya kizungu? Yaani 20 ni 2 na 3 ni 9 yaani tarehe 2Septemba?
 
Jamaa kala pin....

Ila Nina Imani nae hawezi kutuangusha tumpe ka-muda maana siku haijaisha.....
 
Yoga ukuyee huku Bamutu mingii sana banakusubirii, bado haujalamuka tu. Au Kwa Sasa tupo na yule Yoga wa Ulongo Ulongo si wa yule wa pale siku mingi.
 
Back
Top Bottom