Dark days 17/03/20...

Stori za vijiweni. Sio rahisi mtu kutumia muda wake mwingi kuandaa makala ndefu kama haya bila kuwa na maslahi na kitu fulani.

Sina hakika kama yoga anafurahisha genge tu hapa. Big No!
 
'Hata mimi' ni nani huyo mkuu?
 
Sorry mleta mada unaweza kuweka link za episodes ili iwe rahisi kuzisoma kuliko kwenda page kwa page
 
Mdomo koma ahaaaa wataka kujua nani alikuja kushuhudia kifo ahaaa soma story bana. hii story kama ufatilii mambo ya kampuni itakuwa ngumu kufungua code.

"Ukila vya wenzaaaako lazima uliwe"

Acha uvivu soma story.[emoji1787]
Kama alizuiliwa asimuone mgonjwa kwa hofu kwamba mgonjwa atafariki akiwa na kinyongo sio sahihi.

Licha ya mazuri ya mgonjwa, alikuwa na dharau kwa watangulizi wake.

Dharau inaponza hata kama unamaguvu kiasi gani.

Huenda asingelidharau ujio wa 'hata mimi' angelipata ahueni.

Uzee ni dawa.

Sikilizeni wanachowashauri. Hakukudhuru ukiwa mdogo na usumbufu wako sembuse umekua mtu mzima unamtumia kapesa ka maziwa?
 
Kwa mujibu wa hii hadithi tukio lilipangwa , na lilipangwa kwa muda mrefu, na mpangaji asingeweza kutekeleza peke yake.
Kwa vyovyote kulikua na timu iliyohusika kufanikisha yote.

Kwenye hiyo timu kusingekosekana msaliti mmoja ambaye angemdokeza the late what goin on.
Baada ya dokezo the late asingekosa la kufanya madhara yasitokee au kuyazuia kabisa.
Hakuna kitu kizuri kama taarifa, hata kama taarifa imechelewa kiasi gani inakua bora kuliko taarifa isiyo kuwepo.
 
Sidhani kama around the world alikua na maadui, au BT alikua amepandikiza timu asingeweza kamwe, mr late hakua amekosa marafiki wenye nafasi kama yake ambao wange msave na kumpa msaada, hata kama hao marafiki kwao hakuna utaalamu wa kutatua tatizo lake wangekodiwa wataamua kutoka kwingine wake watatue tatizo akiwa nje ya kampuni, hata kama asinge survive lakini isingekua gafla kiasi kile, au isingekuwa kama ilivyo kua.
 
Paragraph ya pili kutoka mwisho nimeielewa ,I think inatubidi tufanye hivyo sote.
 
Ahaaa so katibu wa masanja(tumia akili) na pacha hawakufanya hiki unachokisema? Unaongea nini wewe?

So hukusikia sabuni ya roho 189? Unadhani zilikuwa za kazi gani? Come oon!!
 
Kwa mujibu wa hii story, muhusika alipenyezewa taarifa ndo akaamua kukimbilia nje ya ofisi lakini baadae akarudi na akasema hawaniwezi
 
Who is Mr Tanzanite, who is Mr Freedom? Mana nilikua najua Mr Freedom is from neighboring company but now nasoma tena anatakankupewa uPM nachanganyikiwa kidogo hapa[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…