Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Stori za vijiweni. Sio rahisi mtu kutumia muda wake mwingi kuandaa makala ndefu kama haya bila kuwa na maslahi na kitu fulani.Sisi tunaamnini akina mo ndio wanavibunda kumbe kuna mwamba BT anachota hadi 1.5 Tri sasa bingwa hawa tunaoona sisi matajiri kumbe BT anawaona mafala tuuu .ila BT ni master hatar mkupuo mmoja anachota 1.5 tri na bado zingine ndogondogo kama vibillion si atakuwa anapita navyo sana
Sina hakika kama yoga anafurahisha genge tu hapa. Big No!