Dark days 17/03/20...

Cjui aandaliwe awe nanii sijuii hakuendelea kipande hicho ila kuna walakini

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwa mujbu wa story hakuna walakini huyo mtu anaandaliwa akawe waziri mkuu ,ameshakamilisha misheni zake alzotumwa lakin pia jamaa amehustle na akahenyeshwa haswa udhani syo mtu wao,Ila siasa ya bongo ni noma sana yani na wala haifai kuwa kmbelembele
 
Kwani yoga ndio kachimba maana alisema ni weekend (km 1 hv imeshapita)
Kuwa anashusha bampa to bampa
Au Kuna tamko lingine alitoa sikuwa karibu nalo
 
Mwenye ngu mpishe siyo kupayuka payuka tu bila ulinzi wowote.
 
Alafu kuna super nimeikuta pale bandarini wanashusha sijui unatoka nchi gani
Mnaharibu mada mambo ya super mchele sijui mchele wa mbeya shinyanga yana ingiaje humu ...............em tafuteni funguo mfungue code za humu zingine ngumu kama mawe ya mtoni .....
 
Mwenye kufungua code kidogo hapa
Mr freedom ni nani sio kwajina taja sifa zake tu nipate kuelewa pia new culture naomba mwenye uelewa afungue code kidogo tu niielewe story nzima
 
Mwenye kufungua code kidogo hapa
Mr freedom ni nani sio kwajina taja sifa zake tu nipate kuelewa pia new culture naomba mwenye uelewa afungue code kidogo tu niielewe story nzima

Freedom weka kiswahili halfu nenda nchi jirani ya KE tafuta mstaafu mwenye kufanania nalo.

Mr. Culture mwenyeKT wa vikoba upinzan huko aliwahi kua gaidi kwa kusemelewa ila sasa hivi ni Mt.
 
Mbona Bush baba aliua Vietnam amekuja kufa uzeeni natural death, George Bush mtoto, kaua Iraq na Afghanistan hadi leo anadunda, Idd Amin aliua sana kaja kufa uzeeni, nadhani wauaji si wote hupewa hukumu wakiwa duniani.
Marais wote huua ila hata vitabu vitakatif vimesema mweshimu kiongozi upate kibali kwake.

Ila wanapoua kwa nia ovu ya na ya maslahi binafsi.. Ndio hapo tofauti na Tatizo pia linapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…