Dark days 17/03/20...

Kwa hiyo tith walituwekea mgombea/CEO mgonjwa? Pia kwani huo ulinzi unaouzungumzia Kila wakati ulitoka mbinguni? Au walikuwa binadamu wanaweza kutumika,kutumika au kufanya wanalotaka?
 
Ule mchezo wa bahasha jamaa walimuuza Muha bila kujua, au muha nae alijua bahasha ina nini ndani! Pale ndipo nisipo elewa
 
Atakayeweka maslahi ya wengi mbele ndio atakayedumu na kushinda. No matter ni mchafu kiasi gani. Watanzania ni INNOCENT kiasi cha kuteswa na kuhujumiwa na interests za Wabinafsi wachache.

Tujifunze kujali wadogo starting from National level mpaka Family level. La sivyo wakati wa maumivu ukifika utaumia sana.
 

Kwa hiyo deep state can't use polonium watataja jila lake na yeye afe? Hiyo Deep state ni watu kama wewe. Na wao pia wanakufa kama yeyote. Don't worship them to such extent. Mind uh.. [emoji6]
 
Kwa hiyo deep state can't use polonium watataja jila lake na yeye afe? Hiyo Deep state ni watu kama wewe. Na wao pia wanakufa kama yeyote. Don't worship them to such extent. Mind uh.. [emoji6]
Why would they use polonium wakati mgonjwa wa moyo anaweza kufa kwa "mshtuko" tu!!. Sumu anawekewa mtu ambaye huwezi mu access kiurahisi sio mtu ambaye unamuona Kila siku!! Hupaswi kuacha trace yoyote ukimaliza kazi ndio maana nakataa asingeweza kuuwawa kwa sumu kizembe hivyo.

Watu humu mna underrate sana ulinzi wanaojiwekea viongozi wa Afrika.
 
thread imekosa ladha kabisaaa CODE zimewekwa kando yaani hamna ladha tena humu .......YOGA upo kona ipi .....
 
Acha kulisha watu matangopori Hayati JPM aliuwawa na walamba asali ukiwemo na wew .
Sote tutakufa tu hata nyie mnao ona mna haki ya kuishi milele.
 
Acha kulisha watu matangopori Hayati JPM aliuwawa na walamba asali ukiwemo na wew .
Sote tutakufa tu hata nyie mnao ona mna haki ya kuishi milele.
Aliuwawa na nani mkuu? Si uende ukamuulize hata dokta wake anaitwa Kisenge pale JKCI mbona ana majibu yote. Tuache speculation kama angeuwawa trust me loose ends nyingi zingeshakua tied kuanzia kina Samike mpaka hao doctors wa Mzena na JKCI maana wangekua na ukweli wote.
 
Nyie ndiyo mnaharibu thread ....mleta mada alisema ni Simulizi sasa povu la nini...

Na unapaswa kujua kila mtu humu anafikiri kwa namna yake mwenyewe...

Usitake kuwapangia watu namna ya kufukiri...na usilazimishe watu kukubaliana na Fikra zako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…