zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani kaleta povu? Huyo anaye quote ndio kasema JPM kauwawa Sasa kosa langu ni kumuelewesha ama?Nyie ndiyo mnaharibu thread ....mleta mada alisema ni Simulizi sasa povu la nini...
Ni kweli lakini tunaweka pembeni fake news kwa kujaribu kureason kwa facts.Na unapaswa kujua kila mtu humu anafikiri kwa namna yake mwenyewe...
Hakuna aliyewapangia kufikiri ila fake news haziwezi kunyamaziwa kisa tu "uhuru wa kufikiri". Sasa kweli mtu mzima unaambiwa eti sumu imewekwa kwenye bahasha na wewe unaamini? 😹😹😹.Usitake kuwapangia watu namna ya kufukiri...na usilazimishe watu kukubaliana na Fikra zako....