Dark days 17/03/20...

Nyie ndiyo mnaharibu thread ....mleta mada alisema ni Simulizi sasa povu la nini...
Nani kaleta povu? Huyo anaye quote ndio kasema JPM kauwawa Sasa kosa langu ni kumuelewesha ama?

Na unapaswa kujua kila mtu humu anafikiri kwa namna yake mwenyewe...
Ni kweli lakini tunaweka pembeni fake news kwa kujaribu kureason kwa facts.
Usitake kuwapangia watu namna ya kufukiri...na usilazimishe watu kukubaliana na Fikra zako....
Hakuna aliyewapangia kufikiri ila fake news haziwezi kunyamaziwa kisa tu "uhuru wa kufikiri". Sasa kweli mtu mzima unaambiwa eti sumu imewekwa kwenye bahasha na wewe unaamini? 😹😹😹.
 
Low iq and too much know, definitely the product of kigoma
 
Low iq and too much know, definitely the product of kigoma
Ujuaji umetoka wapi wakati naeleza ambacho serikali ilieleza. Nyie mnaopinga original story ndio WAJUAJI maana mnakuja na nadharia bila ushahidi au reasoning ya kueleweka.

Serikali ilisema ni tatizo la moyo, Jakaya Kikwete Cardiac Institute wanakubali ni tatizo la moyo Sasa ujuaji wangu unatoka wapi?

Nimekutajia mpaka daktari wa Rais kwenye upande wa moyo huyo Dr K. Si uende ukamuulize mbona yupo available?
 
Hao hao unaowaita walinzi ndio hao hao hufanikisha mission kwa manufaa ya umma!!

HIVYO TU!!

Hii ni story tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…