Heri rizimoko mara elfu madelu ni rahisi kuwa dictator kama mwendazake aisee tutahamia BurundiExactly. Ila simpendi madelu jamani[emoji23][emoji23][emoji119] he is not smart jamani. Aombe tu babake aishi
Madame speaker abadilike bana she is cute na mwili mzuri shida mavazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una mdomooo. Unaongea ukweli sana
Ila mwinyi jnr ni mtu mpole mwenye hekima hata alipokuwa Rais ni hulka yake tu jinsi alivo Hana mambo mengi he is way better than rizimoko someone who is down to earth and humbleHamjasoma vizuri nyie!!
Dr mwinyi junior alikua na mbwembwe!!?
Huo ukimya wake na kama zoba hivi ndio mbinu za kimedani!huoni ukiwa smart sana utaamsha uwindaji haramu wa I chwa chake!!!?
Muda ukifika wa kuanza kusukuma kete kuingia king mtaona kitakacho jiri kama lengo lao ni hilo!!
Tusubiri
Cha msingi ni kimoja tu,je deep state wameamua na yeye aje ashike!!!?kama sio ni sio tu!!
[emoji2][emoji2][emoji2] sio hata jk ni next level mpaka Sasa hamna mwanasiasa yoyote anayeweza mfikiaKwani wewe ni mkewe Ridhiwan? Ridhiwan hatofikia hata robo ya jk
Hamna Cha mlalahoi unaonaga mitupio ya Kamala Harris ya ki official and classic kulingana na nafasi yake anaonekana serious being smart na kuwa na official look sio matter ya tajiri au maskini banaUkishazishika hela tu unakuwa hujali saaana kuvaa. Wewe unashangaa kwa sabb ni mlala hoi[emoji23]
Mimi ninazo za mboga tu haimaanishi siwezi kuwa na constructive ideas zitakazomsaidia banaHela si anayo bhna? Wewe ndo wa kujichunguza ili uzishike km yeye mwanamke mwenzio alivyozishika[emoji23]
Hakuna kitu hapoIla now kazidi! Ndo sifa ya wenye hela hiyo miss pablo
Mchagga huyoUpo sahihi. Mramba ni mzee wa wapi jmani?
[emoji23]haya bhana...Mimi ninazo za mboga tu haimaanishi siwezi kuwa na constructive ideas zitakazomsaidia bana
Oooh ahsanteMchagga huyo
Ila kwa pic hiyo mbona kapendeza tu? Ni wewe tu na wivu wako[emoji23] wanawake mna wivu mno aiseeHamna Cha mlalahoi unaonaga mitupio ya Kamala Harris ya ki official and classic kulingana na nafasi yake anaonekana serious being smart na kuwa na official look sio matter ya tajiri au maskini bana
Ni Mwanadiplomasia mzuri[emoji2][emoji2][emoji2] sio hata jk ni next level mpaka Sasa hamna mwanasiasa yoyote anayeweza mfikia
Sawasawa[emoji2][emoji2][emoji2] sio hata jk ni next level mpaka Sasa hamna mwanasiasa yoyote anayeweza mfikia
Anajua mengi kuliko. Ndio maana yuko hivyo.Ila mwinyi jnr ni mtu mpole mwenye hekima hata alipokuwa Rais ni hulka yake tu jinsi alivo Hana mambo mengi he is way better than rizimoko someone who is down to earth and humble
Unanikosea kusema wivu nothing was personal about my comments au wivu mkuu tulia is my elder sister but she need to change her look mbona yule pindi chana huvaa vizuri tu na kupendeza au jokateIla kwa pic hiyo mbona kapendeza tu? Ni wewe tu na wivu wako[emoji23] wanawake mna wivu mno aisee
Sure baba mstaarabu Bora angerudi huku Tanganyika au Rais wa jamhuri ya muungano kuliko kina marope na GuloAnajua mengi kuliko. Ndio maana yuko hivyo.
Baba akinuna au akifurahi always smiling tu Yani lohSawasawa
Kijana ww bado mdogo sana..haya mambo ni mazito..nikuombe uende kwenye ule uzi wa kula kimasihara au chit chart...humu ni pagumu sana mdogo wangu..please adhere to my advice...Mbona JPM alipelekwa JKCI kabla ya Mzena kamuulize dokta yoyote pale JKCI sababu ya JPM kufariki ni Nini, mbona inafahamika randomly tu kuwa alikua na shida ya moyo na alikua na pacemaker. Sasa why mtu wa hivyo ionekane kauwawa wakati wote mnafahamu alikua na matatizo ya afya? Kampeni tu alishindwa kufanya tukawa tunasema Rais hayupo fiti hamkuona ajabu ila miezi 7 baadae ndio kauwawa?? Hampo serious.
Kingine sio serikali tu media za Kenya zilishaanza kuhoji afya ya JPM kipindi ambacho huku Tanzania hata serikali ilikua kimya. Media zilisema ka paralyse upande mmoja n.k hakuna rumour yoyote iloyosema kapigwa sumu au kauwawa zote zilionyesha ni tatizo la moyo. Kumbuka muda huo Tanzania wafuasi wa JPM mlikua busy kutukana wapinzani kwa kuhoji afya ya JPM. Cha kuchekesha amekufa ndio mmekua wakali kuhusu kifo chake??
Huwezi kumuua Rais kirahisi hivyo, especially kwa JPM aliyekua anajihami kiasi kile.
🤣🤣Sure baba mstaarabu Bora angerudi huku Tanganyika au Rais wa jamhuri ya muungano kuliko kina marope na Gulo
Yule ni matokeo mazuri ya kitengo..Baba akinuna au akifurahi always smiling tu Yani loh