Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hamjasoma vizuri nyie!!

Dr mwinyi junior alikua na mbwembwe!!?

Huo ukimya wake na kama zoba hivi ndio mbinu za kimedani!huoni ukiwa smart sana utaamsha uwindaji haramu wa I chwa chake!!!?

Muda ukifika wa kuanza kusukuma kete kuingia king mtaona kitakacho jiri kama lengo lao ni hilo!!

Tusubiri

Cha msingi ni kimoja tu,je deep state wameamua na yeye aje ashike!!!?kama sio ni sio tu!!
Ila mwinyi jnr ni mtu mpole mwenye hekima hata alipokuwa Rais ni hulka yake tu jinsi alivo Hana mambo mengi he is way better than rizimoko someone who is down to earth and humble
 
Hamna Cha mlalahoi unaonaga mitupio ya Kamala Harris ya ki official and classic kulingana na nafasi yake anaonekana serious being smart na kuwa na official look sio matter ya tajiri au maskini bana
Ila kwa pic hiyo mbona kapendeza tu? Ni wewe tu na wivu wako[emoji23] wanawake mna wivu mno aisee
 
Ila kwa pic hiyo mbona kapendeza tu? Ni wewe tu na wivu wako[emoji23] wanawake mna wivu mno aisee
Unanikosea kusema wivu nothing was personal about my comments au wivu mkuu tulia is my elder sister but she need to change her look mbona yule pindi chana huvaa vizuri tu na kupendeza au jokate
 
Mbona JPM alipelekwa JKCI kabla ya Mzena kamuulize dokta yoyote pale JKCI sababu ya JPM kufariki ni Nini, mbona inafahamika randomly tu kuwa alikua na shida ya moyo na alikua na pacemaker. Sasa why mtu wa hivyo ionekane kauwawa wakati wote mnafahamu alikua na matatizo ya afya? Kampeni tu alishindwa kufanya tukawa tunasema Rais hayupo fiti hamkuona ajabu ila miezi 7 baadae ndio kauwawa?? Hampo serious.

Kingine sio serikali tu media za Kenya zilishaanza kuhoji afya ya JPM kipindi ambacho huku Tanzania hata serikali ilikua kimya. Media zilisema ka paralyse upande mmoja n.k hakuna rumour yoyote iloyosema kapigwa sumu au kauwawa zote zilionyesha ni tatizo la moyo. Kumbuka muda huo Tanzania wafuasi wa JPM mlikua busy kutukana wapinzani kwa kuhoji afya ya JPM. Cha kuchekesha amekufa ndio mmekua wakali kuhusu kifo chake??

Huwezi kumuua Rais kirahisi hivyo, especially kwa JPM aliyekua anajihami kiasi kile.
Kijana ww bado mdogo sana..haya mambo ni mazito..nikuombe uende kwenye ule uzi wa kula kimasihara au chit chart...humu ni pagumu sana mdogo wangu..please adhere to my advice...
 
Back
Top Bottom