Dark days 17/03/20...

Now u are talking.
BT gat them balls darling. Na hizo balls zake zitakua kubwa sana[emoji23][emoji23] hivi sindo walizozipunguza kule usa eh?
Imagine having a man who is a smart ass just like him
Me nawapenda sana wahuni wa mjini. Hutakaa usikie bt amegombana na makengeza. Wote born town. Wanaielewa code ya mtaa. Usile kwenye mishe zangu na mimi sili kwenye mishe zako ila mchongo ukitiki tushirikishane. Old ceo wanted to have the bread and eat it whole alone. Haiwezekani. Maana kama ni upigaji kila mtu anajipigia. Sisi ndo wajinga. Napenda muhuni ambae he makes smart moves.

Jiwe namkubali kwa maamuzi magumu maana nina hizo characters. Naweza nikadelay kidogo sana ila nikimove its another massive distruction. Alisaidia utendaji wa nidhamu ya uoga kwa watumishi. Sema hii miradi waliyokua wakitengeneza kwaajili ya pigia hela ndo imeleta haya yote. Sisi si wa kuteseka hivi. That means namuheshim sana born town. Uongozi ukiwaga wa wakristu wenzetu tunanyanyasana sana japo mambo yanaenda straight sana ila wakiwa wenzetu waislam tunakua na raha sana[emoji23]

However, ukiacha upigaji kama wa akina kp na akina madelu etc, u cant blame current CEO kwa hali ya uchumi iliyopo. Late ceo angekywepo naamini hali ingekua mbaya sana tena zaidi. Whomever angekuwepo chamwino hio hali lazima ingekuwepo tu.

Lakini kama sisi sote bt anatunyoosha na tunakaa mstari watu million 60 nitakua na nguvu gani ya kupambana nae? Me namkubali sana[emoji23][emoji23][emoji23] muhuni mzee. Napendaga sana magod father wanaoijua michezo ya mjini
 

Yoga
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Hapo kati mie na miss pablo tulikuwa wadhamini wakuchagamsha Uzi kidogo.
Old CEO kilichomponza alikuwa hajui kula na kipofu au kukimbiza mwizi kimya kimya Sasa he was shouting and sometimes harsh bila kufikiria njia nyingine, hafu kingine old CEO hakuwa na deep root kwenye haya mataasisi na ujanja ka wote ingetakiwa wale anaoaaona ni enemy asingewa conforont direct angewaleta karibu ka washauri wasingemshuru shida alikuwa baba haambiliki plus team yake ya washamba FC aliowapa madaraka makubwa bila uzoefu ilichangia ku create enemity imagine hyo su...gang vs watoto wa mjini Sasa hapo biashara iliisha mapema.
Kwangu Mimi alijitahidi na alikuwa na Nia ya dhati shida team yake haikuwa smart hata born town sio kwamba ni smartest in the world vile hutumia utaalamu wa watu wake kimakini na kushaurika ndio kume msave loh
 
[emoji2][emoji2][emoji2] dada yetu kajichoka sana jamani hata ka lipstick Kwa mbali huwa hapaki ujue yeye ni kiongozi wa muhili mkubwa mjengoni ajifunze hata Kwa Jojo bana, maana Kuna siku Huwa anavaa t-shirt na tight eti mashindano woooi
Mh!..
 

Na wapo wengi ambao hawajapata nafasi kubwa kwenye kampuni, ila wanapiga mishe za kibabe sana mtaani,.
 

Kwangu smart naweza kusema, is ability to use others abilities to rule and earn.

Ukiwa na jicho hili tayari wewe ni smart na mostly watu wa hivi ni charismatic one. Hayo uliyosema ndilo lilikuwa anguko la the late CEO. Angewatumiwa hao hao watu wa BT angemmaliza tatizo alijiona he is above all not touchable.

Sema BT atakuwa amejua heee ni kubaya kumbe kuna watu mate yawadondoka ni vile hawajapata nafasi tu. Bwana samurai anapenda mutuita vibwengo tupo gizani

Sisi tuendele kumsubiri yoga atupe muendelezo
 
Lazima utumie watu wengine wakufanyie kazi then wewe uje uchukue credibility zote kumbe Kuna watu wame work hard behind curtains aisee.
Old CEO angetumia technique ya kumweka adui yako close na kumpa nafasi karibu na wewe then una wa monitor kwanza hawawezi kukudhuru kuliko hata hao friends wako unaoamini. Ukiwa leader inabidi kusoma kitabu Cha 48 laws of power na kuacha kutumia ubabe just be smart na mtu ukianza kuwindana mle kichwa bila huruma ndio BT alitumia hyo kitu wote team ya old CEO kula vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…