Maswali uliouliza ni magumu sana, ila Kwa nachofahamu JPM kusafiri kwenye ndege muda mrefu alikua haruhusiwi kabisa kwahiyo Ina maana walifahamu tayari ana pacemaker na complications za moyo so haikua Siri kwa marafiki na maadui.
So kama ni kudukua au nani alifanya hivyo hayo majibu wanayo TISS au CIA pekee.
Ila nachokataa ni kuuwawa kwa sumu why kwanza wa risk kutumia sumu wakati tayari ana tatizo ambako hata akifariki watu watalitupia lawama.
Mfano mtu mwenye kisukari huitaji kumpa sumu, unaweza chezea mfumo wa kuzalisha insulin akafariki usingizini. Wakipima ni kisukari kilipanda, kesi imeisha.
Ila Sasa mtu ana kisukari ila umtupie sumu sijui kirusi si itakua detected na waliofanya watadakwa tofauti na ukitumia weakness ambayo ipo.