Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Unakuta hawa wapinzani top leaders wanaitumikia serikali japo indirect akina siye tusiojua uhalisia ndio kukuru kakara nyiiiingi
Yaani unaitumikia serikali alafu wakupore majimbo yote au wakupe kesi ya ugaidi. Sasa ushawishi ukifa unakua na faida Gani kwa serikali?

Embu tusiwaingize kwenye mess wapinzani wakati wamemalizana wenyewe huko kwenye kampuni!
 
Sio file ila any random doctor pale JKCI anaweza kukupa mkanda mzima maana wao ndio walimhudumia dakika za lala salama. Wala hakuna Siri Wala connection inahitajika ni jinsi tu ya kumchomekea hiyo story.
Kwahiyo Jiwe alikufa na Corona au alikufa na matatizo yake ya moyo au nini haswa chanzo Cha kifo chake?
 
Wenyewe wanadai ni hitilafu ya pacemaker tokea 2017 sema knockout blow ilipigwa na COVID 19. So kama Kuna mjadala wowote kuwa JPM aliuwawa basi ni either pacemaker ilichezewa au COVID 19 ilipandikizwa not otherwise sijui polonium sijui bahasha. Hiyo ni kwa maelezo Yao hao jamaa.
 
hahahaha,dah
 
Uzi umekua wa moto HADI mwenye uzi kaukimbia au kachimbwa biti!!

Weekends zimepita nyingi tu halafu HAKUNA kitu aiseh!!!
 
Which is which Sasa?
Alikufa kwa covid au kwa pacemaker ku fail????

Kingine, kwanini unawapinga wanaosema polonium ilifanya yake?
Ujue nao Wana hoja zao wasikilizwe???

Unadhani covid haiwezi kuwa coincidence ya kuelekea kifo chake?
Kumbuka Jiwe alianza kuwa Hali tete baada ya kukutana na
Maalim na yeye mwezi 1 baadae akafa.
 
Uzi umekua wa moto HADI mwenye uzi kaukimbia au kachimbwa biti!!

Weekends zimepita nyingi tu halafu HAKUNA kitu aiseh!!!
Hahahaha inanikumbusha The bold aliandaa Uzi kuhusu mauaji ya watutsi na utajiri wa kagame. Sijui aliitwa jumba jeupe maana aliachana na Uzi na akatokomea JF 😂😂.
 
hahahaha, jibu utakalopewa,utashangaa
Kifo Cha Jiwe kimekuwa NI myths kila mtu anasema lake.

Ila huku mtaani watu wengi wanaamini Jiwe aliuawa na wote lawama wanazielekeza kwa msoga gangs (Hii ndiyo Hali halisi ya mtaani,achana na ya mtandaoni)

Ni vyema serikali kutoka hadharani na kuweka bayana kuhusu kifo Cha Jiwe.
Japo taarifa official ya serikali NI chanzo Cha kifo matatizo ya moyo.
 
Alikufa kwa covid au kwa pacemaker ku fail????
COVID-19 haiwezi kukuua ila ikikukuta una matatizo mengine ndio inachochea kifo. Sasa kama pacemaker Ina hitilafu alafu COVID-19 ikaleta mgandamizo wa hewa kwenye mapafu unadhani damu itasambaa kwenye mishipa kisawa sawa? Hapo inakuwa kifo.
Kingine, kwanini unawapinga wanaosema polonium ilifanya yake?
Ujue nao Wana hoja zao wasikilizwe???
Mimi siwapingi mkuu ila nimeeleza tu nachokifahamu maana kumuwekea sumu Rais sijui bahasha unajua sio kitu kirahisi kama kinavyosimuliwa humu. Tena sumu yenyewe sijui kapewa mtu A aipeleke kwa mtu B Ili akamuue mtu C!! My friend hakuna Siri ya wawili so baada ya JPM kuondoka nlitegemea hao wote wangeuwawa Ili kuficha siri.
Unadhani covid haiwezi kuwa coincidence ya kuelekea kifo chake?
Ndio maana nikasema taarifa yoyote kuhusu JPM kuuwawa bila kuhusisha COVID 19 (hata kama ya kupandikizwa) au kuchezewa kwa pacemaker basi inakua redundant at least kwa nilichosikia huko JKCI.
Kumbuka Jiwe alianza kuwa Hali tete baada ya kukutana na
Maalim na yeye mwezi 1 baadae akafa.
Rafiki yangu kama ni sumu iliwekwa zamani sana maana hta hiyo polonium inaweza zunguka kwenye damu miezi na miezi mpaka mabadiliko yaonekane. So kwa namna yoyote kama aliuwawa basi iwe kuchezea pacemaker, iwe kumpa sumu basi ni 2020 maana wakati wa kampeni hali ilikua mbaya hata kampeni alifanya kwa kusuasua.
 
COVID-19 haiwezi kukuua ila ikikukuta una matatizo mengine ndio inachochea kifo. Sasa kama pacemaker Ina hitilafu alafu COVID-19 ikaleta mgandamizo wa hewa kwenye mapafu unadhani damu itasambaa kwenye mishipa kisawa sawa? Hapo inakuwa kifo.

Mimi siwapingi mkuu ila nimeeleza tu nachokifahamu maana kumuwekea sumu Rais sijui bahasha unajua sio kitu kirahisi kama kinavyosimuliwa humu. Tena sumu yenyewe sijui kapewa mtu A aipeleke kwa mtu B Ili akamuue mtu C!! My friend hakuna Siri ya wawili so baada ya JPM kuondoka nlitegemea hao wote wangeuwawa Ili kuficha siri.

Ndio maana nikasema taarifa yoyote kuhusu JPM kuuwawa bila kuhusisha COVID 19 (hata kama ya kupandikizwa) au kuchezewa kwa pacemaker basi inakua redundant at least kwa nilichosikia huko JKCI.

Rafiki yangu kama ni sumu iliwekwa zamani sana maana hta hiyo polonium inaweza zunguka kwenye damu miezi na miezi mpaka mabadiliko yaonekane. So kwa namna yoyote kama aliuwawa basi iwe kuchezea pacemaker, iwe kumpa sumu basi ni 2020 maana wakati wa kampeni hali ilikua mbaya hata kampeni alifanya kwa kusuasua.
Majibu yako Yana make sense
Tuje hapa.

Ilikuaje pacemaker ya rais ikapata tatizo?
Je,ilidukuliwa????

Kumbuka rais n mtu mkubwa na afya yake NI Jambo la 1.

Uoni kwamba pengine ilianza hujuma katika pacemaker yake?
 
Kifo Cha Jiwe kimekuwa NI myths kila mtu anasema lake.

Ila huku mtaani watu wengi wanaamini Jiwe aliuawa na wote lawama wanazielekeza kwa msoga gangs (Hii ndiyo Hali halisi ya mtaani,achana na ya mtandaoni)

Ni vyema serikali kutoka hadharani na kuweka bayana kuhusu kifo Cha Jiwe.
Japo taarifa official ya serikali NI chanzo Cha kifo matatizo ya moyo.
Hii imechangiwa na usiri wa serikali, kama wangeeleza anaumwa na kukawa na uwazi pengine haya maoni kuwa kauwawa yasingekuepo. Ila kuficha ficha then ghafla wanatangaza kifo ndio kimeleta huo upepo.
 
Majibu yako Yana make sense
Tuje hapa.

Ilikuaje pacemaker ya rais ikapata tatizo?
Je,ilidukuliwa????

Kumbuka rais n mtu mkubwa na afya yake NI Jambo la 1.

Uoni kwamba pengine ilianza hujuma katika pacemaker yake?
Maswali uliouliza ni magumu sana, ila Kwa nachofahamu JPM kusafiri kwenye ndege muda mrefu alikua haruhusiwi kabisa kwahiyo Ina maana walifahamu tayari ana pacemaker na complications za moyo so haikua Siri kwa marafiki na maadui.

So kama ni kudukua au nani alifanya hivyo hayo majibu wanayo TISS au CIA pekee.

Ila nachokataa ni kuuwawa kwa sumu why kwanza wa risk kutumia sumu wakati tayari ana tatizo ambako hata akifariki watu watalitupia lawama.

Mfano mtu mwenye kisukari huitaji kumpa sumu, unaweza chezea mfumo wa kuzalisha insulin akafariki usingizini. Wakipima ni kisukari kilipanda, kesi imeisha.

Ila Sasa mtu ana kisukari ila umtupie sumu sijui kirusi si itakua detected na waliofanya watadakwa tofauti na ukitumia weakness ambayo ipo.
 
Nje maada..
Kumbe moja ya sababu iliyomfanya Jiwe asisafiri nje NI Hilo tatizo la pacemaker???
Na moja ya sababu za kukimbiza gari zake toka dar Hadi Dom then chato up to kigoma ni kutokana na masharti ya kitaalamu kuwa asitumie ndege kwa muda mrefu?
[emoji16]Nimepata kitu.

Okay tuendelee.
Kwahiyo NI sahihi kusema kuwa Jiwe aliuawa kwa kufanyiwa hujuma kwenye pacemaker yake NI sahihi?????
 
Back
Top Bottom