Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
OkayNasoma tu leo....
Mbona kingereza kama cha Yoga?Now u are talking.
BT gat them balls darling. Na hizo balls zake zitakua kubwa sana[emoji23][emoji23] hivi sindo walizozipunguza kule usa eh?
Imagine having a man who is a smart ass just like him
Me nawapenda sana wahuni wa mjini. Hutakaa usikie bt amegombana na makengeza. Wote born town. Wanaielewa code ya mtaa. Usile kwenye mishe zangu na mimi sili kwenye mishe zako ila mchongo ukitiki tushirikishane. Old ceo wanted to have the bread and eat it whole alone. Haiwezekani. Maana kama ni upigaji kila mtu anajipigia. Sisi ndo wajinga. Napenda muhuni ambae he makes smart moves.
Jiwe namkubali kwa maamuzi magumu maana nina hizo characters. Naweza nikadelay kidogo sana ila nikimove its another massive distruction. Alisaidia utendaji wa nidhamu ya uoga kwa watumishi. Sema hii miradi waliyokua wakitengeneza kwaajili ya pigia hela ndo imeleta haya yote. Sisi si wa kuteseka hivi. That means namuheshim sana born town. Uongozi ukiwaga wa wakristu wenzetu tunanyanyasana sana japo mambo yanaenda straight sana ila wakiwa wenzetu waislam tunakua na raha sana[emoji23]
However, ukiacha upigaji kama wa akina kp na akina madelu etc, u cant blame current CEO kwa hali ya uchumi iliyopo. Late ceo angekywepo naamini hali ingekua mbaya sana tena zaidi. Whomever angekuwepo chamwino hio hali lazima ingekuwepo tu.
Lakini kama sisi sote bt anatunyoosha na tunakaa mstari watu million 60 nitakua na nguvu gani ya kupambana nae? Me namkubali sana[emoji23][emoji23][emoji23] muhuni mzee. Napendaga sana magod father wanaoijua michezo ya mjini
We nawe.. hebuuMbona kingereza kama cha Yoga?
Angetumia maneno ya wahenga "mwizi mpe ufunguo wa hazina" au "mchawi mpe mwanao amlee" [emoji23]Lazima utumie watu wengine wakufanyie kazi then wewe uje uchukue credibility zote kumbe Kuna watu wame work hard behind curtains aisee.
Old CEO angetumia technique ya kumweka adui yako close na kumpa nafasi karibu na wewe then una wa monitor kwanza hawawezi kukudhuru kuliko hata hao friends wako unaoamini. Ukiwa leader inabidi kusoma kitabu Cha 48 laws of power na kuacha kutumia ubabe just be smart na mtu ukianza kuwindana mle kichwa bila huruma ndio BT alitumia hyo kitu wote team ya old CEO kula vichwa
Vip kuhusu huyu nelson mandela anayesifika sana?Conspiracy tu hizo, why would you make a clone kama original yupo na anaenda sawa sawa na matakwa yenu? Hiyo teknolojia Bado haijafika huko ya kuclone binadamu ila wanaweza clone mtu kwa robotics sio binadamu.
Nachofahamu Mandela angeweza kuuwawa hata gerezani ila alibadili msimamo na ndio ukaruhusu nchi kupewa uhuru. Maana beberu asingeweza toa uhuru kwa mtu type ya Malema, wangechinjwa wote kama kule Haiti. Sasa hizi story za kuwa Mandela was cloned ni kutaka kuaminisha watu kwamba mtu hawezi badili msimamo kwa maslahi ya taifa? Mbona Nyerere alibadilika kuhusu mtazamo wa ujamaa ila hatusemi ni cloned?Vip kuhusu huyu nelson mandela anayesifika sana?
[emoji28][emoji28]shida aliwadharau wahenga wetu maana walijua mengi, uongozi inabidi kuwa smart na mvumilivu kusoma mchezo wallahAngetumia maneno ya wahenga "mwizi mpe ufunguo wa hazina" au "mchawi mpe mwanao amlee" [emoji23]
Lazima utumie watu wengine wakufanyie kazi then wewe uje uchukue credibility zote kumbe Kuna watu wame work hard behind curtains aisee.
Old CEO angetumia technique ya kumweka adui yako close na kumpa nafasi karibu na wewe then una wa monitor kwanza hawawezi kukudhuru kuliko hata hao friends wako unaoamini. Ukiwa leader inabidi kusoma kitabu Cha 48 laws of power na kuacha kutumia ubabe just be smart na mtu ukianza kuwindana mle kichwa bila huruma ndio BT alitumia hyo kitu wote team ya old CEO kula vichwa
Acha kbs mkuu. This kantri hapana
Halafu late hakua hata akijisomea vitabu kujiongezea maarifa. Walau hata angetumia hii fursa
Halaf mbowe analaumiwaKuna tuvita tunapigwa huko twa chini kwa chini
Kabisa mkuu. Wakamuonyesha wao ni wanaume zaidi yake. I want a man like bt[emoji23][emoji23]Alijawa na ukomo wa fikra.
Ukijiona hakuna zaidi yako popote pale ujue tayari ndilo anguko lako
Hamjasoma vizuri nyie!!
Dr mwinyi junior alikua na mbwembwe!!?
Huo ukimya wake na kama zoba hivi ndio mbinu za kimedani!huoni ukiwa smart sana utaamsha uwindaji haramu wa I chwa chake!!!?
Muda ukifika wa kuanza kusukuma kete
Unaamini katika DIPU SITETI, ila ukweli ni kwamba kwenye hiyo DIPU SITETI kuna DIPU SITETI ya juu yake up to infinity....Hamjasoma vizuri nyie!!
Dr mwinyi junior alikua na mbwembwe!!?
Huo ukimya wake na kama zoba hivi ndio mbinu za kimedani!huoni ukiwa smart sana utaamsha uwindaji haramu wa I chwa chake!!!?
Muda ukifika wa kuanza kusukuma kete kuingia king mtaona kitakacho jiri kama lengo lao ni hilo!!
Tusubiri
Cha msingi ni kimoja tu,je deep state wameamua na yeye aje ashike!!!?kama sio ni sio tu!!
Immortal sio?Naskia huyu wa sasa hivi ni copy ama clone Mwenyewe alishavuta kitambo tu
Kwahiyo pale muhimbili from no where wanaweza Nipa faili la Jiwe nikilitaka?Inaweza kuwa ya kupandikizwa kupitia watu wa karibu ila ndio iliyommaliza sio sumu. Alikua na shida ya moyo miaka zaidi ya 10 so COVID ilisukuma tu. Ulitaka kuamini hakupewa sumu angalia kampeni za uchaguzi alivyokua dhaifu anafanya kampeni siku 2 anapoteza siku 3..... hakua sawa kiafya.
Ukitaka ukweli nenda pale taasisi ya moyo JK utapata details zote kitaalamu achana na propaganda za mitandaoni.
Halaf mbowe analaumiwa
Kabisa mkuu. Wakamuonyesha wao ni wanaume zaidi yake. I want a man like bt[emoji23][emoji23]