Dark days 17/03/20...

Swali kwako, akiwa waziri hakuwa akienda nje ya nchi? Hakua akipanda ndege, hivi ka kumbukumbu zangu ni nani alipata ajali na helkopta?
 
Yaani unaitumikia serikali alafu wakupore majimbo yote au wakupe kesi ya ugaidi. Sasa ushawishi ukifa unakua na faida Gani kwa serikali?

Embu tusiwaingize kwenye mess wapinzani wakati wamemalizana wenyewe huko kwenye kampuni!

[emoji28] usiwe mkali. Yote yanawezekana
Wewe ulijua ipo siku nywele nyeupe ataenda upinzani na kukabidhiwa hadhi ya juu?

Uliwahi kuwaza ipo siku covid 19 watakikimbia chama kukuu cha kipinzani?

Andiko langu limejitanabaisha kwa kuwaza usiloweza kufikiri lawezekana, LINAWEZEKANA.

Sijasema upinzani wanaitumikia serikali..!!!

Punguza sauti.
 
Nchi hii nadhani Kuna nguvu nyingine inayoongoza nchi ambayo hyo nguvu hata Rais mwenyewe haijui ilivo. Majority ya mambo yanakuwa scripted kabisa hamna jambo linalotokea accidentally inakuwa ni calculated move kabisa.
 
Zumbe ninachoamini kama kuna dipu steti , ujue lazima kuna nyingine ya juu yake, na hiyo ya juu yake lazima kuna iliyopo juu yake zaidi, kwahiyo ni ngumu sana kujua idadi ya hizo dipu steti. Hiyo imejengwa na logic akilini kwangu kwamba akili ya bin Adam ni infinity..... hapa mfano naweza kusema kuwa tunavyomuona BT kuwa ni superior, ila kiukweli ni inferior kwa wengine, maana hata Late SIIOO a.k.a mwendazake alishamjambisha jambisha kwa almost 6yrs, 😆 😄, enewei, ngoja tuendelee kusubiri
zumbemkuu: kwani Dipu siteti ziko zaidi ya moja nchini Tz?
Kama ni hivyo BT yuko kwenye ipi?
 
zumbemkuu "Zumbe ninachoamini kama kuna dipu steti , ujue lazima kuna nyingine ya juu yake, na hiyo ya juu yake lazima kuna iliyopo juu yake zaidi, kwahiyo ni ngumu sana kunua idadi ya hizo dipu steti"
Ok shukurani
 
Jamaniiii!! [emoji23][emoji23][emoji23] haya ndugu yangu!! Tumepindisha tena!! Sawaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umetutenga sana na wewe!

Eti nilisikia ka mguu kako kalikua kanachechemea hivi majuzi! hivi ilikua ni stroke au ulikataa kufuata itifaki za kutoa KWA hiari ikabidi washe akupige mtama ukateguka!!?

Unaendeleaje Lakini!!?
 
Mi huwa najiuliza... Kwanini walaumu msoga gangs...?
Je hawajui msoga mwenyewe hali ilikuwa tete na angeweza kumfuata CEO mwenzake wa Lupaso..

Huko ndani kipindi late Ceo yupo madarakani hali ilikuwa tete jamani.. Wao kwa wao walishanusa hatari ya kusepeshwa kwenda ahera..

Wengi huku hawajawahi kufanya kazi na late Ceo kwa ukaribu.. Ila kama ulishafanya kazi na yule bwana... Alikuwa nusu chizi nusu mzima
 
Nchi hii nadhani Kuna nguvu nyingine inayoongoza nchi ambayo hyo nguvu hata Rais mwenyewe haijui ilivo. Majority ya mambo yanakuwa scripted kabisa hamna jambo linalotokea accidentally inakuwa ni calculated move kabisa.

Hata mimi hua nadhani hivi.
Kuna nguvu kubwa nje ya nguvu tuzijuazo aise.
Its either Godly or Ungodly power. Huwa najiuliza kwa nini hizi ungodly power zina nguvu kubwa sana na za haraka kimatokeo compare to Godly power.

Unaambiwa unahitaji imani kubwa sana kupata matokeo chanya kwa kutumia Godly power, compare na ungodly power.
Au ndio tuwaheshimu wahenga “kizuri chajiuza kibaya chejitembeza”
 
Kimachonishangaza eti na yenyewe huwa inataka hongo ya fedha kama watu wa kawaida!

Ina maana na huko kuna kununua na kuuza!!?kama huku ze world!?

Sadaka.

Physical sacrifice vs Spiritual sacrifice. Laws of power. As long as they are relate with physical body watatumia physical material to operate their issues.
 

Kuna mfanyakazi wa almashauri moja wapo, aliwahi kuniambia bora ameenda maana ilikuwa ni mateso makubwa kuliko watu walivyokuwa wanachukulia hasa hasa tulipo serikalini huku.
 
Ungodly power zinaendeshwa na feasible Man, Godly power ni hearsay tu ndo maana huwezi kuona matokeo yake ....
 
Kwani media za kunya zilikuwa zinapewa clues na muandaaji wa mpango? Msijitoe ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…