jamesandrew
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 240
- 580
Swali kwako, akiwa waziri hakuwa akienda nje ya nchi? Hakua akipanda ndege, hivi ka kumbukumbu zangu ni nani alipata ajali na helkopta?Nje maada..
Kumbe moja ya sababu iliyomfanya Jiwe asisafiri nje NI Hilo tatizo la pacemaker???
Na moja ya sababu za kukimbiza gari zake toka dar Hadi Dom then chato up to kigoma ni kutokana na masharti ya kitaalamu kuwa asitumie ndege kwa muda mrefu?
[emoji16]Nimepata kitu.
Okay tuendelee.
Kwahiyo NI sahihi kusema kuwa Jiwe aliuawa kwa kufanyiwa hujuma kwenye pacemaker yake NI sahihi?????