Dark days 17/03/20...

I think sisi ka binadamu tunajua vitu vichache sana tofauti na uhalisia na vingine tulifungwa na Mila na tamaduni, but I believe Kuna nguvu inayotuendesha either physical pia invisible sisi tupo tu na hata hizo tulizoaminishwa za kishetani zinaweza kuwa nguvu halisi zenyewe sasa
 
Kumbe iko hivyo. Vipi deep state inaundwa na wazawa wote au wapo ndani yake na wa nje?
Vipi hii deep state inaundwa na watu wagapi?
Sifa za kuwa member wa deep state ni zipi?
Vipi Born to town ana cheo gani huko deep state?
 

Umewaza vizuri sana. Kuna vitu vipo vimefichwa fichwa hasa hasa kwenye dini huko ndipo kuna power ambazo wajanja baada ya kuzijua hawataki tuzijue.

Ukilala ndio umeamka na ukiamka ndio umelala.
 
Ni mzuri hakuna mfano!!
Yani ukiuanza kuusoma hutojuta dear!! Ukiwa unasoma moyoni unajisemea nhiiiiiii bora kuwa mwananchi wa hali ya chini sana tu kuliko kujihusisha na mambo ya siasa/ uongozi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!

[emoji28][emoji28][emoji28] hutaki keki ya kampuni?
 
Majibu yako Yana make sense
Tuje hapa.

Ilikuaje pacemaker ya rais ikapata tatizo?
Je,ilidukuliwa????

Kumbuka rais n mtu mkubwa na afya yake NI Jambo la 1.

Uoni kwamba pengine ilianza hujuma katika pacemaker yake?
Jamani pesi meka mkajisomee details zake kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa hivyo vifaa sio vya milele kuna ambavyo utatakiwa kubadilisha kila baada ya miaka mitano kumi au 15. Sasa unadhani cha raisi John kiliwekwa lini? Muda wake ulikuwa haujaisha? Na vile wabongo tunadharau ishu za afya mpaka tatizo liwe kubwa
 
Ongezeeni maarifa kidogo hapo. Je procedures zote zilifutwa? Au kuna uzembe na kujisahau kukapelekea hivho kifaa kugoma kufanya kazi?

Au ni kazi ya Mola ambayo ikifanyika hakuna awezaye kupinga yani ni lazima itimie?
 
Umewaza vizuri sana. Kuna vitu vipo vimefichwa fichwa hasa hasa kwenye dini huko ndipo kuna power ambazo wajanja baada ya kuzijua hawataki tuzijue.

Ukilala ndio umeamka na ukiamka ndio umelala.
"Allah - hapana muabudiwa isipokuwa yeye aliye hai, msimamizi wa mambo yote milele, hashikwi na usingizi wala kulala, ni vyake yeye tu vyote vilivyomo mbinguni na ardhini, ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao, wala wao hawazunguki chochote katika elimu yake, ila kwa atakalo yeye mwenyewe, kursiyy yake imeenea mbinguni na ardhini na wala havimshindi yeye na kuvilinda hivyo, na yeye ndiye aliye juu aliye mkuu."

Qur'an 2:255
 
Kumbe iko hivyo. Vipi deep state inaundwa na wazawa wote au wapo ndani yake na wa nje?
Vipi hii deep state inaundwa na watu wagapi?
Sifa za kuwa member wa deep state ni zipi?
Vipi Born to town ana cheo gani huko deep state?
Deep State ni neno linalotumika kuelezea kundi la watu wenye nguvu na ushawishi ambao wanashikilia mamlaka kubwa nchini kwa njia ya siri na wanadhaniwa kuzuia au kudhibiti uamuzi wa kisiasa na serikali. Mara nyingi kundi hili linahusishwa na wanasiasa wenye ushawishi, wafanyabiashara tajiri, makundi ya ujasusi na majeshi. Ni nadra sana kundi hili kutambuliwa hadharani, na hufanya kazi kwa siri ili kuhakikisha madaraka yao yanadumu na wanaweza kufikia malengo yao bila kujulikana.
AU
Deep state ni kundi la watu wenye ushawishi mkubwa nyuma ya pazia linalolenga kudhibiti siasa, biashara na taasisi za kiserikali katika nchi fulani. Majukumu yake yanajumuisha kubuni na kutekeleza sera za siri, kupiga vita wapinzani, kudhibiti vyombo vya habari na kuhakikisha kuwa sauti za raia hazikutwi.

Kwa ujumla, muundo wa deep state huwa ni wa siri na una watendaji waliojificha katika ngazi mbalimbali za serikali na taasisi za umma. Wajibu wake ni kuhakikisha kuwa maslahi ya kundi la watu wenye ushawishi mkubwa yanatimizwa pasipo muingilio wa wananchi au serikali.

Mipaka ya deep state huwa haina ukomo na inaweza kuficha shughuli zake katika mienendo ya kila siku ya nchi. Hii inamaanisha kuwa inaweza kuathiri maamuzi yanayofanywa na viongozi wa kitaifa au misimamo ya vyombo vya habari na mashirika mengine yanayohusiana na utawala.
 
Asante sana mkuu Mack Oyier Go Osoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…