Kuna kipande kilionyesha kuanzia 2023 vilio vitakuwa vingi kuelekea 2025.
Wacha tujifunze. Kwamba tarehe zile alitembelea ofisini kwake?Nilipoona na kusoma taarifa ya jasusi mbobezi kutangulia.
Akili ikaniruka ikaenda kwa makamu wa CEO, nikasema mbona mapema sana.
Wacha tujifunze. Kwamba tarehe zile alitembelea ofisini kwake?
Madam spika sijui alikulia wapi ambako wanawake wenzake hawaoni.
Ni mchafu mchafu tu kila mahali
Si ndiyo wanawake wife material hawana gharama mkuu.Madam spika sijui alikulia wapi ambako wanawake wenzake hawaoni.
Ni mchafu mchafu tu kila mahali
Jidanganye tu. Kwamba hana safu eh?Missions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu nitag mbna sizioniWakuu Kuna nyuzi 6 humu JF kabla ya hii dark days Kisha Kuna 2 zilizotoka sambamba na dark days ukiangalia maudhui zake zote zinafanana Sasa ilipoanza Ile 18.5.1985 haikuja kwa bahati mbaya ule ulikua ujumbe,v8 yupo hpa nchini,Pilipili km Sasha alivyopenda kumuita pia kaagwa juz rasmi thatha cheza na wengine siyo teeth njia lazma isafishwe,nilivyomuona dokta wa mchongo muonekano wa sura na mwili wake kwasasa ni ujumbe tosha Kuna Jambo litarajieni Kuna Jambo kubwaaaaa
...tango.....tango.......
Mission activated
Stage one initiated
.......over...........
Bendera na Katiba Tanzania Kwanza😍🇹🇿
Hamna...Hivi Maembe kweli hajauliwa na New CEO ili kupunguza washindani wake kuelekea 2025?
Kama si hivyo kwa jicho jingine Old CEO hajahitilafiana na Maembe akaona isiwe taabu akamtanguliza?
Wanakulana wazi wazi, watu wamepita na kivuli cha mnada[emoji848] sasa sijui mnada ndio decoy!!? Na walio kwenda kuzuia mnada ni akina naniOne man down........... One man down...... I repeat one man down........!!!!
By yoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
One man down........... One man down...... I repeat one man down........!!!!
By yoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujuhi kitu, nyamaza.Uongo huu unakusaidia nini mkuu?
Mpaka mdosi anakufa yeye ndiye alikuwa mshauri wake mkuu.Kwenye updates za yoga alisema queen Sasha ataongoza Hadi mwaka 2027 then aje mwingine. So naona kulikuwa na kaukweli Kwa mbali.
Nimejibu juu hapo.Mkuu
Kwahiyo ile ishu ya fdr kuingia kitalani imeyeyuka!!?
Mi nilidhani hilo tukio lita leta domino effect KWA mapapa kuanguka hasa watakaohudhuria musiba cyprian au!!!?
Kwamba picha ndio linaanza rasmi au sio!!!?
Aisee kumbe, ina maana dodo limeangushwa na wenye mti kabla hata halijaiva, ila hawa jamaa nyoko sana tena sana. Unafanya mambo yako wanakucheki kijinga jinga ila ukiwachosha na wanaku embe dodo. Ila siku BT akidondoka itakuwaje maana inasemekana 18 bado kupiga tuHujuhi kitu, nyamaza.
Membe alipenyezwa akawa ndiye mshauri mkuu wa Samia kuhusu usalama na diplomasia.
Kete ilikuwa inasogezwa kuwa mpango Hana mvuto/ushawishi hivyo membe awe VP
Nadhani CEO kafanya maamuzi ambayo late CEO alishindwa kufanya. Yaani late CEO angekubali kufanyia kazi ushauri wa deep state wa kumuondoa BT haya yote yasingekuwepo yeye badala yake late CEO akaishia kuvujisha audio eti kuwa expose. Ila current CEO nampa pongezi na bado BT nadhani very soon atasafiri maana cha kwanza ni kijana wake kuondoshwa wizara ya land. Hata akina wale wanaojiita ma rope ataondoka. Ila current CEO ni genius sana.Missions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
BT Kashajaa kwenye mikono.Nadhani CEO kafanya maamuzi ambayo late CEO alishindwa kufanya. Yaani late CEO angekubali kufanyia kazi ushauri wa deep state wa kumuondoa BT haya yote yasingekuwepo yeye badala yake late CEO akaishia kuvujisha audio eti kuwa expose. Ila current CEO nampa pongezi na bado BT nadhani very soon atasafiri maana cha kwanza ni kijana wake kuondoshwa wizara ya land. Hata akina wale wanaojiita ma rope ataondoka. Ila current CEO ni genius sana.
Hana huo u genius kilichopo ni yeye kufuata tu maelekezoNadhani CEO kafanya maamuzi ambayo late CEO alishindwa kufanya. Yaani late CEO angekubali kufanyia kazi ushauri wa deep state wa kumuondoa BT haya yote yasingekuwepo yeye badala yake late CEO akaishia kuvujisha audio eti kuwa expose. Ila current CEO nampa pongezi na bado BT nadhani very soon atasafiri maana cha kwanza ni kijana wake kuondoshwa wizara ya land. Hata akina wale wanaojiita ma rope ataondoka. Ila current CEO ni genius sana.
Mimi binafsi naona deep state yetu iko vizuri sana. Maana hawana papara kabisa. Nadhani kumuondoa late CEO akina BT walidhani wameushinda mfumo.BT Kashajaa kwenye mikono.
Kama anapita hapa kwenye huu msiba akae nao mbali.
Ajue malipo ni hapa hapa duniani.
Mimi ni msema kweli siku zote
Hafu hata kwenye hii story yoga kaelezea code yake ndio watu wakawa wanasema mkuchika atiHujuhi kitu, nyamaza.
Membe alipenyezwa akawa ndiye mshauri mkuu wa Samia kuhusu usalama na diplomasia.
Kete ilikuwa inasogezwa kuwa mpango Hana mvuto/ushawishi hivyo membe awe VP