Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Missions ilikuwa hivii

Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.

[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki

Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jidanganye tu. Kwamba hana safu eh?
 
Wakuu Kuna nyuzi 6 humu JF kabla ya hii dark days Kisha Kuna 2 zilizotoka sambamba na dark days ukiangalia maudhui zake zote zinafanana Sasa ilipoanza Ile 18.5.1985 haikuja kwa bahati mbaya ule ulikua ujumbe,v8 yupo hpa nchini,Pilipili km Sasha alivyopenda kumuita pia kaagwa juz rasmi thatha cheza na wengine siyo teeth njia lazma isafishwe,nilivyomuona dokta wa mchongo muonekano wa sura na mwili wake kwasasa ni ujumbe tosha Kuna Jambo litarajieni Kuna Jambo kubwaaaaa
...tango.....tango.......
Mission activated
Stage one initiated
.......over...........
Bendera na Katiba Tanzania Kwanza😍🇹🇿
Hebu nitag mbna sizioni
 
One man down........... One man down...... I repeat one man down........!!!!
By yoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We are counting all that are falling and they do seem to have a common characteristic. I tell you just wait a little longer and their lives will be judged with justice and their revenge will be served for them. For believe me none harms an innocent and gets away with it.
 
Kwenye updates za yoga alisema queen Sasha ataongoza Hadi mwaka 2027 then aje mwingine. So naona kulikuwa na kaukweli Kwa mbali.
Mpaka mdosi anakufa yeye ndiye alikuwa mshauri wake mkuu.
Mengi yalkuwa nyuma ya pazia.

Ile kauli ya born T. Siku Ile kusema "Mambo yaharibike Sanaa"

Wananzengo wakaingia site.

Issue ya musiba na kifo Cha jamaa ni just coincidence tu.
Deep down Inajulikana.
Na mpango ulikuwa n maembe.

Hawa kina January na mwenzake walikuwa geresha TU.

Huu mpango ulisukwa kitambo
Ref kauli za majigambo za mwamba enzi zile atafunga dk ya 90
 
Mkuu

Kwahiyo ile ishu ya fdr kuingia kitalani imeyeyuka!!?

Mi nilidhani hilo tukio lita leta domino effect KWA mapapa kuanguka hasa watakaohudhuria musiba cyprian au!!!?

Kwamba picha ndio linaanza rasmi au sio!!!?
Nimejibu juu hapo.
Mpango wa membe kuwa rais ulisukwa
Kwa njia ya uchochoroni ulikuwa unaratibiwa. Na Kambi ya BT 2019

Na State nao walikuwa na mpango wa FDR wao.

Mpango 2025 alikuwa haendelei tena kuwa VP.
Na kama membe angewekwa kipindi kile Cha msiba ingeleta tension.
 
Hujuhi kitu, nyamaza.
Membe alipenyezwa akawa ndiye mshauri mkuu wa Samia kuhusu usalama na diplomasia.
Kete ilikuwa inasogezwa kuwa mpango Hana mvuto/ushawishi hivyo membe awe VP
Aisee kumbe, ina maana dodo limeangushwa na wenye mti kabla hata halijaiva, ila hawa jamaa nyoko sana tena sana. Unafanya mambo yako wanakucheki kijinga jinga ila ukiwachosha na wanaku embe dodo. Ila siku BT akidondoka itakuwaje maana inasemekana 18 bado kupiga tu
 
Missions ilikuwa hivii

Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.

[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki

Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani CEO kafanya maamuzi ambayo late CEO alishindwa kufanya. Yaani late CEO angekubali kufanyia kazi ushauri wa deep state wa kumuondoa BT haya yote yasingekuwepo yeye badala yake late CEO akaishia kuvujisha audio eti kuwa expose. Ila current CEO nampa pongezi na bado BT nadhani very soon atasafiri maana cha kwanza ni kijana wake kuondoshwa wizara ya land. Hata akina wale wanaojiita ma rope ataondoka. Ila current CEO ni genius sana.
 
BT Kashajaa kwenye mikono.
Kama anapita hapa kwenye huu msiba akae nao mbali.
Ajue malipo ni hapa hapa duniani.

Mimi ni msema kweli siku zote
 
Nadhani CEO kafanya maamuzi ambayo late CEO alishindwa kufanya. Yaani late CEO angekubali kufanyia kazi ushauri wa deep state wa kumuondoa BT haya yote yasingekuwepo yeye badala yake late CEO akaishia kuvujisha audio eti kuwa expose. Ila current CEO nampa pongezi na bado BT nadhani very soon atasafiri maana cha kwanza ni kijana wake kuondoshwa wizara ya land. Hata akina wale wanaojiita ma rope ataondoka. Ila current CEO ni genius sana.
Hana huo u genius kilichopo ni yeye kufuata tu maelekezo

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom