Dark days 17/03/20...

Sio rahisi BT asiijue deep tst,,,ingawa Sina hakika na hilo
 
Nadharia namba 2 naikubali kwa 99%
 
Sio rahisi BT asiijue deep tst,,,ingawa Sina hakika na hilo
Hapana bosi, deep shiteti yetu hakuna mwenye kuijua kwa 100%, hayupo na hatokaa kutokea. Kama CEO wa kwanza alishughulikiwa na akasafiri sembuse wengine? Pindi nasoma kuna mdau aliwahi nambia kuna kibao walikuwa wakifika wanapotea baadaye wanasema wametumwa ila baadaye sijui walimwezaje. Hivyo ni uhakika hakuna mwenye hati miliki na kuifahamu deep shiteti.
 
Aiseh Bas sawa!

Dodo hawezi kuwa Mzee kama alivaondikwa na yoga!!

Mzee ni mzee KWELI huyo wa newala ana miaka mingapi!!?

Waziri wa kampuni asiekuwa na wizara maalum!!?dodo hakuwahi kushika cheo hicho!!

Mi HUWA naamini Tumia akili ni mzee wa newala!!

Dodo itakua labda ni deep state au the originals ndio imesepa nae coz ni mpango kazi wa kusafisha wanaojiita wenye nembo ya kijani ya kampuni!lazima dodo afuatwe na kwamba senior na ndovu halafu Bt baadae pamoja na kp baadae kidogo!!!
 
Namba 1 na 3 kwa 98% inawezekana
 
Theory number 1& 3 zinaweza kuwa na ukweli hasa number 3 ndio uhalisia Niki refer na Uzi wa Tumainiel aliyoandika Kuna ukweli na kaandika tayari shoka liko kwenye Shina kukata watu wataliwa vichwa mpaka basi.
So it's the work of deep state
 
Dodo ni mango, born town ni Mr smile mstaafu

No 3 👌
All in all bahari imeanza kujisafisha so tuendelee kula upepo mwanana 😎
 
Sasa wewe ndo umepatia..

Ulichoandika ni sahihi.
Sikua nimefuatilia. Japo abt wahusika sitoandika. Its true its never a natural death. Walisoma gap BT hayupo town wakamaliza faster.

Siwezi disclose saanaa ila tujiandae kwa matukio ya kutikisa. Ndani ya miezi 6 hii. Mutaniambia. Its scary. Vigogo wanne hivi achana na tabibu wa family ambaye ni namba 1 aliyeruhusu haya. Walijua marehemu ni threat kwao hiyo 2025.

By the way, nilikua nataka kuulizia tu weya iz sasha[emoji2088][emoji2088]
 
No 3 [emoji108]
All in all bahari imeanza kujisafisha so tuendelee kula upepo mwanana [emoji41]
Nop. You are wrong. Tafuta taarifa zaidi. I wasnt informed about it mkuu. Ni kwakua nilijiaminisha tu lakini sivyo. Ukiachana na info, born town uliona alivyoongea juzi msibani? Kama unajua kusoma basi elewa jambo. Tuandae maturibai tuu mkuu. Yanayokuja ni balaa miezi 6 hii.
 
Funguka kidogo hizo codes please

Sasha yupo Mbona Jana Tena alipostiwa
 
Funguka kidogo hizo codes please

Sasha yupo Mbona Jana Tena alipostiwa
Usiniponze wewe[emoji28]

Alikua wapi?

Just know embe dodo amefitiniwa. Plan angekuja kumiliki hiki kiwanja kwa upinzani. Kwahiyo ngogwe ni kivuli tu cha mbogamboga zetu. Sasa wameona kwann awe threat.. wakamzunguka. Huyu ni kwaajili ya kusafisha safisha. Mwamba alikua vzr. Kwahiyo wakafanya yao hilo kundi la watu kadhaaa... na sisi tunajiandaa kuwasindikiza wamfate dodo.

Dodo lived with phylosophy.
Dodo was a smart kid.
Kwanza kunyakuliwa na taasisi kama kanisa lilipata pigo, alikua awe padre mzuri sana[emoji28]
Waheshimu sana waseminary...
Wana kitu cha ziada.
Hapa its not even about BT. Ilikua kwaajili ya kusafisha.

Ukiachana na haya yote. Uligundua nini risala ya bt kwenye mazishi? Uliisoma body language yake na alivyoswitch chaap? Akatulia kimyaa baada ya hapo?
Kuna hekaheka sasa hivi huko KK SECURITY saa hizi hapalaliki.

Juu ya sasha sitaongelea kabisaa. Najipenda[emoji28][emoji28][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…