Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
😂😂😂Ndo mtu avae dira jekundu akapande ndege jamani? Kuna watu hawana damu ya kupendeza haata kidogo yaani damu ya kunguni... si mtu hata amchague fundi wake mshauri wa mavazi na rangi za kuvaa jamani?