Dark days 17/03/20...

Ndo mtu avae dira jekundu akapande ndege jamani? Kuna watu hawana damu ya kupendeza haata kidogo yaani damu ya kunguni... si mtu hata amchague fundi wake mshauri wa mavazi na rangi za kuvaa jamani?
Safari ndefu hio, zaidi ya Massa 9...inabidi ajiachie.

Akikaribia kushuka,anavaa official.

Unadhani kwanini waheshimiwa wananing'iniza suti kwenye viete zao!!!!

Obama safari ndefu angani alikua anavaa hata pensi tu then akikaribia anabadilika.

Mkapa, safari ya kwenda marekani ilivo ndefu alikua anakula mtungi safari ikianza then analala watamshtua ajiandae baadae.
 
Yees. Khanga ile. Halaf sijui nimewahi muona nani anayo home. Kwanza ile rangi ni uchafu. Am not a stylist lakini hapana. Ule ni uchafu. Hata kama ni kutangaza mavazi lile hapana. Puuh mbaka. Kwanza rangi nyekundu siipendi. Kama mganga wa kienyeji
Vita yenu hii!
 
Si unakumbuka Yale ya Monduli bwana wewe?
Akamchukia Mzee na vijana wake sio!!?

SIDHANI kama 2005 kama kura zingetosha kama mzee angekua hai!!

Nadhani kulikuwa na cold blood ya jamaa na Mzee,SIJUI ALIKUA anamu outshine mzee kwenye nini!!?au weupe wa rangi!!?au kuziona fursa za UCHUMI!!?

Aiseh kazi SANA!
 
Ya ngoswe ndugu yangu. Sisi wengine akina pita na zako tunaambulia yatokanayo TU.
 
Yees. Khanga ile. Halaf sijui nimewahi muona nani anayo home. Kwanza ile rangi ni uchafu. Am not a stylist lakini hapana. Ule ni uchafu. Hata kama ni kutangaza mavazi lile hapana. Puuh mbaka. Kwanza rangi nyekundu siipendi. Kama mganga wa kienyeji
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weweew. Dira aloondoka nalo ndo kashuka nalo hilo2
 
Hivi where is my girl Karma. Aje hapa aseme juu ya hili dira la khanga. Ni haki kweli? Nchi matopeni
 
George Bush alikuja wakati wa utawala wake, unafikiri alikuja kwa kuwa anawapenda watanzania?

Nakushauri utafute kitabu chenye title "Deadly deceits".

Kimeandikwa na Ralph W Mcgehee. Huyu mwandishi kafanya kazi CIA miaka 25.
Mkuu naweza kupata link ya hichi kitabu for free nisome!?
 
Pk yupo smart sana, napenda watu wanaotumia akili kuliko nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…