Dark days 17/03/20...

Wanaapa. Usiwasikilize wapotoshaji. Kile kiapo anachoapishwa na rais kwa mujibu wa katiba ni sehemu TU. Kuna viapo vya kijeshi pia, ambavyo sisi raia hatuvisikii kwa kuwa havituhusu.
Kwani na wao hawataki pesa na mamlaka?!

Aliyewaweka ndio mwenye mpini!
 
Kwamba Kiti kamsaliti Jini?
 
Disemba nitakuwa hai!!!!?
 
Huenda kuachishwa pia ni kwa mipango tu. Huenda wamepewa assignment nyengine nyuma ya pazia
Serikali ya Kongo ilitoa tahadhari wiki moja kabla ya tamko hilo la Ikulu kwamba RDF inapanga kuvamia eneo la GOMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…